Von Bismarck
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 3,890
- 8,647
Njia ya kufanya nikatoa pesa nyingi ni ipi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuja kukugundua watanzania wanajifanyaga wajuaji ata kwa kitu ambacho hawajui, ucpoteze pumzi yako, ndo maana nchi yetu wachina na wazungu wanakuja kujizolea ela za bure tu humu na hawaangaiki kuelimisha mtu, watakuajili watakulipa ata laki TATU mpk million moja, uku wenyewe wanaingiza mamillion ya ela na ww utaridhika, elimu ndio utajiri, wenzetu kule mtu akiwa na business plan wanakuja investors kuwekeza lkn uku bongo ukitoa business plan watakuja wakosoaji. Wachina wanaoongezeka Tz sio wote wanakuja na mitaji yao,wanatafuta investors lkn kwa bongo huu mkakati ni kazi bure tu ,ata mimi lengo langu kutoa information km io, nilitegemea kuna watu watanufaika lkn mmeambiwa cjui kitu, nkaona it's pointless kuelimisha Watz.
Wanakusanya hela zote hizo mwisho wa mwezi wanawalipa laki sita 😭😭Nimekuja kukugundua watanzania wanajifanyaga wajuaji ata kwa kitu ambacho hawajui, ucpoteze pumzi yako, ndo maana nchi yetu wachina na wazungu wanakuja kujizolea ela za bure tu humu na hawaangaiki kuelimisha mtu, watakuajili watakulipa ata laki TATU mpk million moja, uku wenyewe wanaingiza mamillion ya ela na ww utaridhika, elimu ndio utajiri, wenzetu kule mtu akiwa na business plan wanakuja investors kuwekeza lkn uku bongo ukitoa business plan watakuja wakosoaji. Wachina wanaoongezeka Tz sio wote wanakuja na mitaji yao,wanatafuta investors lkn kwa bongo huu mkakati ni kazi bure tu ,ata mimi lengo langu kutoa information km io, nilitegemea kuna watu watanufaika lkn mmeambiwa cjui kitu, nkaona it's pointless kuelimisha Watz.
Kuna wengine wanalipwa laki na nusu kwa mwezi km mshahara, lkn kuna wengine mshahara wanapokea Million moja na kuendelea, inategemea na cheo na mda ambao uko kaziniWanakusanya hela zote hizo mwisho wa mwezi wanawalipa laki sita 😭😭
Laki na nusu wengi wale wanaoachiwa kuchezesha au kusimamia machine na mshahara wa Hawa ndugu zangu Kim'a Cha chini mianne lkn unaweza kupanda kutokana na unavyokusanya mwisho wa mwezi wanaolipwa million kwao wakalimaniKuna wengine wanalipwa laki na nusu kwa mwezi km mshahara, lkn kuna wengine mshahara wanapokea Million moja na kuendelea, inategemea na cheo na mda ambao uko kazini
Watu wanafungua mashine na kuchange wanalipwa laki na nusu Mzee, kampuni zinatofautiana, na watu wanalipwa million sio mpk uwe mkalimani, mimi mwenyewe nalipwa laki nane lkn ata kichina cjuiLaki na nusu wengi wale wanaoachiwa kuchezesha au kusimamia machine na mshahara wa Hawa ndugu zangu Kim'a Cha chini mianne lkn unaweza kupanda kutokana na unavyokusanya mwisho wa mwezi wanaolipwa million kwao wakalimani
Yes wanaangalia sana utendaji wako wa kazi ,lkn na nyie mnawapiga sana wachina punguzeni mshahara sio ishu kwenu.Watu wanafungua mashine na kuchange wanalipwa laki na nusu Mzee, kampuni zinatofautiana, na watu wanalipwa million sio mpk uwe mkalimani, mimi mwenyewe nalipwa laki nane lkn ata kichina cjui
Inategemea cheo, uzoefu wa kazi na kazi waliyokupa, hawajaligi elimu Hawa jamaa, kuna mtu ana degree analipwa laki tatu, hlf kuna mtu kaishia LA 7 analipwa laki tano.
Ungejua kazi zetu hazina mapumziko,Yes wanaangalia sana utendaji wako wa kazi ,lkn na nyie mnawapiga sana wachina punguzeni mshahara sio ishu kwenu.
Upuuz huuNimekuja kuwapa madini kuhusu hii biashara
Biashara hii inalipa Sana, ndo maana wachina wanatoka kwao kuja kuinvest Tanzania
Firstly inahitajika mtaji mkubwa Sana na elimu ya kusimamia na kutengeneza endapo ikiharibika ndo maana watanzania wanashindwa Fanya hii biashara
Kwa mtaji wa million 300
Una uhakika wa kila mwezi kuingiza million 60 km profit, ambapo ela yako ya mtaji itarudi baada ya miezi mitano tu.
Kwaio km mko watu watatu au wanne mmeingia kweny hii biashara ujue roughly unaingiza mil 20 profit kila mwezi
Nikiingia kiundani zaidi inabidi uwe na vibali, kampuni yako uisajili, utengeneze brand yako na Mashine ukanunue China na uzilete Tanzania, changamoto ya hii biashara inahitaji rushwa nyingi Sana Mpk kuja kufungua hii biashara, maana viongozi wetu wanaogawa vibali bila rushwa hupati kibali ,utazungushwa mpk ukome.
Ili mradi kuendesha hii biashara unahitaji gari kwa ajili ya kupeleka Mashine site
PIKIPIKI kwa ajili ya wafanyakazi kuwa wanapitia izi MASHINE
Na viongozi kuwa wanasimamia na kutoa muongozo kwa wafanyakazi
Inabidi ununue Silver (Coins) tsh 200 uzitunze kwa ajili ya mtaji wa Mashine
Nimekuja kujua kuwa kinachotufelisha watanzania ni mtaji tu.
Mimi Hawa wachina wa Kaku zangu hawajawai kuwapeleka mkoani kazi wanapiga hapa hapa dar,mshahara mdogo kweli lkn hela ya Kila siwanatoa elf7 na mkipigapiga kwa siku kurudi na 40 kawaida sanaUngejua kazi zetu hazina mapumziko,
Tunafanya kazi masaa mengi,
Tunahamishwa mikoa mda wowote saa yoyote.
ilibidi watulipe ata million mbili kwa mwezi.
Anakula shavu uyo ,lkn kweny ela ndo kakosa, kampuni zinategemeanaMimi Hawa wachina wa Kaku zangu hawajawai kuwapeleka mkoani kazi wanapiga hapa hapa dar,mshahara mdogo kweli lkn hela ya Kila siwanatoa elf7 na mkipigapiga kwa siku kurudi na 40 kawaida sana
Sijaelewa kukosa hela kivpi..??Anakula shavu uyo ,lkn kweny ela ndo kakosa, kampuni zinategemeana
Sasa elfu 7 kwa cku, kwamwez c 210,000 tuSijaelewa kukosa hela kivpi..??
Hiyo ya Kula tofauti na mshaharaKwa wanaofanya kazi za aya
Sasa elfu 7 kwa cku, kwamwez c 210,000 tu
Wako vizuri sanaHiyo ya Kula tofauti na mshahara
Watu hawajui tuu lakini KAMARI Imeumiza sana Taifa na inaendea Kuharibu Kabisa. Serikali haistuki au inafanya kusudi. Pesa kidogo za wananchi zinasombwa Kwa kasi ya Kutisha Huku wananchi wakiachiwa Msongo mkubwa wa mawazo na umaskini uliotopeaDubwi ni zaidi ya kansa ni hatari sana
Serikali imejaa mashetani ambayo hayana huruma, wengi wao ni mijitu mitoa kafara hainaga hurumaWatu hawajui tuu lakini KAMARI Imeumiza sana Taifa na inaendea Kuharibu Kabisa. Serikali haistuki au inafanya kusudi. Pesa kidogo za wananchi zinasombwa Kwa kasi ya Kutisha Huku wananchi wakiachiwa Msongo mkubwa wa mawazo na umaskini uliotopea
Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
Kwa sasa imepoteza mvuto nafikiri itakufa kabisaa baada ya miaka miwili ijayoNimekuja kuwapa madini kuhusu hii biashara
Biashara hii inalipa Sana, ndo maana wachina wanatoka kwao kuja kuinvest Tanzania
Firstly inahitajika mtaji mkubwa Sana na elimu ya kusimamia na kutengeneza endapo ikiharibika ndo maana watanzania wanashindwa Fanya hii biashara
Kwa mtaji wa million 300
Una uhakika wa kila mwezi kuingiza million 60 km profit, ambapo ela yako ya mtaji itarudi baada ya miezi mitano tu.
Kwaio km mko watu watatu au wanne mmeingia kweny hii biashara ujue roughly unaingiza mil 20 profit kila mwezi
Nikiingia kiundani zaidi inabidi uwe na vibali, kampuni yako uisajili, utengeneze brand yako na Mashine ukanunue China na uzilete Tanzania, changamoto ya hii biashara inahitaji rushwa nyingi Sana Mpk kuja kufungua hii biashara, maana viongozi wetu wanaogawa vibali bila rushwa hupati kibali ,utazungushwa mpk ukome.
Ili mradi kuendesha hii biashara unahitaji gari kwa ajili ya kupeleka Mashine site
PIKIPIKI kwa ajili ya wafanyakazi kuwa wanapitia izi MASHINE
Na viongozi kuwa wanasimamia na kutoa muongozo kwa wafanyakazi
Inabidi ununue Silver (Coins) tsh 200 uzitunze kwa ajili ya mtaji wa Mashine
Nimekuja kujua kuwa kinachotufelisha watanzania ni mtaji tu.