Biashara ya bonanza, dubwi

Wanakusanya hela zote hizo mwisho wa mwezi wanawalipa laki sita 😭😭
 
Kuna wengine wanalipwa laki na nusu kwa mwezi km mshahara, lkn kuna wengine mshahara wanapokea Million moja na kuendelea, inategemea na cheo na mda ambao uko kazini
 
Laki na nusu wengi wale wanaoachiwa kuchezesha au kusimamia machine na mshahara wa Hawa ndugu zangu Kim'a Cha chini mianne lkn unaweza kupanda kutokana na unavyokusanya mwisho wa mwezi wanaolipwa million kwao wakalimani
 
Watu wanafungua mashine na kuchange wanalipwa laki na nusu Mzee, kampuni zinatofautiana, na watu wanalipwa million sio mpk uwe mkalimani, mimi mwenyewe nalipwa laki nane lkn ata kichina cjui

Inategemea cheo, uzoefu wa kazi na kazi waliyokupa, hawajaligi elimu Hawa jamaa, kuna mtu ana degree analipwa laki tatu, hlf kuna mtu kaishia LA 7 analipwa laki tano.
 
Yes wanaangalia sana utendaji wako wa kazi ,lkn na nyie mnawapiga sana wachina punguzeni mshahara sio ishu kwenu.
 
Ungejua kazi zetu hazina mapumziko,
Tunafanya kazi masaa mengi,
Tunahamishwa mikoa mda wowote saa yoyote.

ilibidi watulipe ata million mbili kwa mwezi.
 
Upuuz huu
 
Mimi Hawa wachina wa Kaku zangu hawajawai kuwapeleka mkoani kazi wanapiga hapa hapa dar,mshahara mdogo kweli lkn hela ya Kila siwanatoa elf7 na mkipigapiga kwa siku kurudi na 40 kawaida sana
 
Anakula shavu uyo ,lkn kweny ela ndo kakosa, kampuni zinategemeana
 
Serikali imejaa mashetani ambayo hayana huruma, wengi wao ni mijitu mitoa kafara hainaga huruma
 
Kwa sasa imepoteza mvuto nafikiri itakufa kabisaa baada ya miaka miwili ijayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…