Mshimba1971
Member
- Dec 13, 2021
- 75
- 67
Ndugu zangu,
Kutokana na kuhamishiwa kikazi mkoani katavi, sina jinsi zaidi ya kuiuza biashara yangu ya bucha ya nyama ya ngombe, iliopo eneo la bunju b mabwepande(off mabwepande road).
Bucha hii ni mpya na tulifikia mauzo ya kg 50-60 kwa siku. Inauzwa kwa bei ya millioni mbili (2 millioni tu), nakuachia frame pamoja na vifaa vya bucha.
Ina vifaa vifatavyo;
Frame (ina mlango wa alminium/vioo na iko branded)
Friza kubwa
Hooks za kuninginizia nyama
Mzani wa digital
Frame imewekewa tiles ukutani(nyeupe).
Gogo la kukatia nyama
Shoka na visu
Meza ya kukatia nyama
Kodi ya frame ni tshs. 40,000 kwa mwezi (nimelipia kodi mpaka mwezi wa 3,2022).
Hii ni biashara yenye potential kubwa sana kwani ni eneo linakua sana na hakuna huduma ya bucha zaidi ya hii yangu.
Pia kuna maitaji ya samaki,nyama ya kuku,sousage, mayai na maziwa, ambavyo unaweza kuongeza kwenye biashara hii.
Karibu kwa mazungumzo, piga 0759 819 819