Biashara ya Chakula cha Mifugo

Biashara ya Chakula cha Mifugo

Heshima mbele kwa members woote wa JF, nilipenda kuwapeni tahalifa kuwa kama kuna wategenezaji wa. Chakula cha mifugo na wafugaji napenda kuwatahalifu kuwa tunategeneza pumba za muhogo zaidi ya ton 2 kwa siku zipo fresh na ambazo zimekahuka kama kuna mtegenezaji kama kuna mfugaji au mtgenezaji wa chakula cha mifugo tunawakaribisha kununua toka kwetu waweza ku pm
Tanzania zipo maabara za kupima hivyo vyakula vya mifugo
 
Unamaanisha nini pumba za muhugo ?

Na unaweza kunipa nutritional value ya hizo pumba
 
Tanzania zipo maabara za kupima hivyo vyakula vya mifugo
Najua TFDA wanaweza kufanya kitu kama hiki (kupima nutritional value ya chakula chochote..) lakini bei zao huenda zikawa juu na kwa chakula cha mifugo huenda isiwe cost effective

Ila ninachojua Kenya wanafanya sana hii kitu unapeleka sample ya chakula chako (mfano fish meal) wanapima na kukupa kabisa certificate..., kwahio hata ukiwa unauza unajua kabisa fish meal yako ina protein percent ngapi kama ni 55, 50 au 45 au kama ni makapi tu...
 
Thanks Singh,

Ur input will be much appreciated, vipi una mchango au ushauri wowote Mkuu?

Tunasaply 75% ya mashudu ya pamba hapa Tz na Kenya same percent. Kwa alizeti Tunasaply 50%. Sisi ni wanunuzi wakubwa zaidi wa alizeti na mbegu za pamba kwa Tanzania. Tuna kiwanda Lake zone the biggest In East and southern Africa. Tukianza production ntakujuza ila uwe na mtaji kuanzia million 30 Being ya mashudu per kilo not above 600 and not less than 500/- kwa pamba. Na 180 na 250/_ per kilo. More info pm.
 
Mambo Jambo,​

Tupe mrejesho kama ulifanikiwa kuanzisha mradi wako wa biashaa ya chakul cha mifugo???
 
Back
Top Bottom