Biashara ya chakula Tanga Jiji inalipa kiasi Gani?

Biashara ya chakula Tanga Jiji inalipa kiasi Gani?

Omarjahaz

New Member
Joined
Sep 23, 2021
Posts
3
Reaction score
0
Naomba kupatiwa ushauri juu ya biashara ya mgahawa yaani restaurant Jiji la Tanga mjini na chakula Gani wanapenda na wapi bora kuanzisha.

Naombeni ushauri wadau?
 
Biashara ya chakula inalipa sana tu, hasa uki target wateja wa middle na low income
Kuhusu maeneo tafuta sehemu zenye masoko na stend za daladala
Nenda mitaa ya commercial na stend ya ngamiani au mabanda ya papa
 
Back
Top Bottom