O Omarjahaz New Member Joined Sep 23, 2021 Posts 3 Reaction score 0 Jun 30, 2022 #1 Naomba kupatiwa ushauri juu ya biashara ya mgahawa yaani restaurant Jiji la Tanga mjini na chakula Gani wanapenda na wapi bora kuanzisha. Naombeni ushauri wadau?
Naomba kupatiwa ushauri juu ya biashara ya mgahawa yaani restaurant Jiji la Tanga mjini na chakula Gani wanapenda na wapi bora kuanzisha. Naombeni ushauri wadau?
O Omarjahaz New Member Joined Sep 23, 2021 Posts 3 Reaction score 0 Jul 7, 2022 Thread starter #2 Mbna kimya jaman
CalvinD JF-Expert Member Joined Feb 5, 2016 Posts 246 Reaction score 355 Jul 9, 2022 #3 Biashara ya chakula inalipa sana tu, hasa uki target wateja wa middle na low income Kuhusu maeneo tafuta sehemu zenye masoko na stend za daladala Nenda mitaa ya commercial na stend ya ngamiani au mabanda ya papa
Biashara ya chakula inalipa sana tu, hasa uki target wateja wa middle na low income Kuhusu maeneo tafuta sehemu zenye masoko na stend za daladala Nenda mitaa ya commercial na stend ya ngamiani au mabanda ya papa