Sasa uache kula Chipsi na kuanza kula chapati ndio umefanya nini?Hatimaye wanaume wa Dar wataacha kulalamika heshima kurejea...[emoji12] [emoji12]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa uache kula Chipsi na kuanza kula chapati ndio umefanya nini?Hatimaye wanaume wa Dar wataacha kulalamika heshima kurejea...[emoji12] [emoji12]
Na kitambi kitakuja kwa kasi piaChapati + Supu / Maharage
Siku inaenda vyema kabisa....
Chapati + Supu/MaharageSasa uache kula Chipsi na kuanza kula chapati ndio umefanya nini?
Chapati + Supu / Maharage
Siku inaenda vyema kabisa....
Vocha, usafiri, kodi ya Nyumba, huduma za maji na umeme. Huduma ya afya just in case, mavazi. Akiba itabaki sh 50 na senti mbili.Usiku
Chapati mbili+supu bila nyama=1000
Mchana
Wali Maharage+samaki=1500
Asubuhi
Chai+mihogo=500
Total=3000,Mshahara 200000,akiba 100000@mwezi*12=investment kumbe maisha rahisiiii!
Kwani anayekula kipande cha chungwa na anayekula chungwa zima wote si sawa tu?Samaki ama kipande cha samaki?
Kwa hiyo unaona maisha ni kula tu hulipi maji, umeme,usafiri.. fala kweliUsiku
Chapati mbili+supu bila nyama=1000
Mchana
Wali Maharage+samaki=1500
Asubuhi
Chai+mihogo=500
Total=3000,Mshahara 200000,akiba 100000@mwezi*12=investment kumbe maisha rahisiiii!
We kweli hazimo... Kwa lugha nyingine hapo mleta mada kaonyesha bussness opportunity inayokuwa kwa sasa... Think BigNonsense
Vocha=1000 halichachiVocha, usafiri, kodi ya Nyumba, huduma za maji na umeme. Huduma ya afya just in case, mavazi. Akiba itabaki sh 50 na senti mbili.
Umenikumbusha rolexHii biashara imetawala sana ktk jiji LA Kampala hasa mida ya usiku
Maji=500*mweziKwa hiyo unaona maisha ni kula tu hulipi maji, umeme,usafiri.. fala kweli
Ivi Mohammed Dewji kwy ngano hayupo. Maana mh?Salamu zimfikie SSB na AZANIA. [HASHTAG]#ChapatiRevolution[/HASHTAG].
Will never happen under the sunUtengenezaji na uuzaji wa chapati hasa mida ya jioni ni biashara inayokua kwa kasi.
Muda si mrefu biashara hii itaipiku biashara ya kukaangiza chips.
Anaejua namba Uganda wanavyopika ROLEX angetujuza kidogo maana ni fusrsa hiyo...