Biashara ya Chapchap

Mwenye wazo zuri Kuna alfu kumi hapa inamuhusu kama shukran.
Sagula sagula karume, Ilala boma, tandika, temeke & Mbagala, fungua Belo la nguo/viatu wakubwa kwa watoto uza Belo la laki 7 uza lote kwa laki 9 faida laki 2 au million faida laki 3 mchezo umeisha ukiwa na Belo 4 faida sio mchezo 3×4=? kikubwa uwe na vijana wa kazi na uwe tayari kuwalipa, nipe 10,000/- chap chap sina mda wa kupoteza
 
Mitumba kaz yake si mchezooo. Huko asiweke hela atalia... Million 4 Kwa biashara ya kipuuzi kama mtumba ni kujenga karibu na kibanda Cha hasara
 
Vijana Tena!!nahitaji biashara ya Ambayo utanunua mzigo na kuuza wote Kwa jumla Kisha unatoa faida sio baishara za kuzungusha mtaani wiki/mwezi
 
Vijana Tena!!nahitaji biashara ya Ambayo utanunua mzigo na kuuza wote Kwa jumla Kisha unatoa faida sio baishara za kuzungusha mtaani wiki/mwezi
Sijasema kuzungusha mkuu hii biashara huijui biashara no Siri mkuu nimekupa Siri umeshindwa kunielewa haya basi jumua mayai uuze kwenye mahotel
 
Hata kama faida yake itakuwa ndogo lakini niuze jumla.mfano milioni 4 nipate faida ya laki 1.5 au 200000.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…