Mr fantastic_
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 377
- 502
Nunua guta ( bajaji ya mizigo) au ya abilia upige mwenyewe pesa utayo pata kwa mwaka iyo millioni 4 isharudi na chombo unacho safi miaka inayo fatia we ni kupiga faida tu.Mwenye wazo zuri Kuna alfu kumi hapa inamuhusu kama shukran.