Biashara ya Chapchap

Biashara ya Chapchap

Wapo wanamaliza mzigo asubuhi pale karume biashara ni Siri
Hujui unachokisema mkuu. Achana na kumaliza mzigo... Wewe unaona Kwa macho tu! Mm nimefanya hiyo biashara. Usiione vile ukaona Kuna Cha maaana saaaana mule. Ile biashara inataka ujanja ujanja wake uwe unaujua. Unaweza kuanza Moja mpaka ikaisha hiyo MILIONI 4 yoote na wewe mwenyew ukapoteleamo humo Kwa stress
 
Kaka nimekuelewa ila Mimi hamu yangu nipate biashara Ambayo nitanunua mzigo na kuuza jumla hata kama ni Kwa faida ndogo sana.
 
Hujui unachokisema mkuu. Achana na kumaliza mzigo... Wewe unaona Kwa macho tu! Mm nimefanya hiyo biashara. Usiione vile ukaona Kuna Cha maaana saaaana mule. Ile biashara inataka ujanja ujanja wake uwe unaujua. Unaweza kuanza Moja mpaka ikaisha hiyo MILIONI 4 yoote na wewe mwenyew ukapoteleamo humo Kwa stress
Ndio Ila huyo ni wewe Kuna wenzio wametoboa kwa biashara hio hio, NI sawa uiponde biashara ya kuuza maji kwenye chupa 500-20,000 wakati wenzio wanatoboa kwa hio biashara wewe unaniponda unasema utaanza upya Maisha yanasonga uoga wako ndio umasikini wako
 
Wewe jamaa TOA USHAURI ACHA KUONGEA USIVYOVIJUA. Hiyo biashara mm naijua na mjomba angu ndo biashara yake hiyo amejenga na anamiliki viwanja. Huwez kuniambia chochote kuhusu mitumba. Mm mwenyew naweza kutoboa huko vilevile. So usidhani najaribu kuongea tu... Nazungumza Kwa ninachokijua. TOA USHAURI usihamasishe watu ujinga
 
na mjomba angu ndo biashara yake hiyo amejenga na anamiliki viwanja.
Kumbe JIBU unalo umesema amefanyeje ? Kwa kupitia biashara gani ? Kwanini unamzuia huyu asiifanye ? Waafrika sio watu kweli au kwa kua nimetoboa Siri ?

Mimi kwa taarifa yako nilikua nashuhudia Mbeya jamàa wanavyopush mzigo kabla sijaingia Dar saa 1 asubuhi watu wanafunga mahesabu biashara unaanza saa 10 usiku, shtuka au nimwage mafaili yote hapa acha kuzibia wenzio riziki km ulishindwa wewe ni wewe maana hata ushihidi umetoa mwenyewe mjomba wako katoboa kwa biashara hio hio unayoiponda
 
Screenshot_20230521-182244.png

CV ipi ? Kazi ipi ? Una uwezo upi ?
 
Kumbe JIBU unalo umesema amefanyeje ? Kwa kupitia biashara gani ? Kwanini unamzuia huyu asiifanye ? Waafrika sio watu kweli au kwa kua nimetoboa Siri ?

Mimi kwa taarifa yako nilikua nashuhudia Mbeya jamàa wanavyopush mzigo kabla sijaingia Dar saa 1 asubuhi watu wanafunga mahesabu biashara unaanza saa 10 usiku, shtuka au nimwage mafaili yote hapa acha kuzibia wenzio riziki km ulishindwa wewe ni wewe maana hata ushihidi umetoa mwenyewe mjomba wako katoboa kwa biashara hio hio unayoiponda
Msimsikilize huyu jamaa. Huko mitumbani mtachelewa mnooo. Tuendelee kushea skills... Huyu Hana jipya hapa. Huwez kutumia MILIONI 4 mzima sokoni kwenye biashara za kijinga kama zile
 
Nishasikilizwa Fred Vunjabei & Frank Knows akili kumbichwa
 
Saidia kushare basi mkuu buashara zinafanyikaje huko na sisi tujiandae kuja
 
Back
Top Bottom