Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Hujui unachokisema mkuu. Achana na kumaliza mzigo... Wewe unaona Kwa macho tu! Mm nimefanya hiyo biashara. Usiione vile ukaona Kuna Cha maaana saaaana mule. Ile biashara inataka ujanja ujanja wake uwe unaujua. Unaweza kuanza Moja mpaka ikaisha hiyo MILIONI 4 yoote na wewe mwenyew ukapoteleamo humo Kwa stressWapo wanamaliza mzigo asubuhi pale karume biashara ni Siri