Nunua guta ( bajaji ya mizigo) au ya abilia upige mwenyewe pesa utayo pata kwa mwaka iyo millioni 4 isharudi na chombo unacho safi miaka inayo fatia we ni kupiga faida tu.
Habari za muda huu wananzengo,naomba kufahamishwa biashara ya Chapchap ambayo naweza kuweka pesa chap nikanunua mzigo na kuuza nibaki na faida.mtaji milioni 4.Nakusudia biashara zile za ulanguzi wa bidhaa.ahsanteni