Jibu Zuri zaidiItakuwa vizuri kama utamwajiri bila kumlipa mshahara, bali chambua ufahamu gunia la viazi na gharama nyingine kama mafuta, mkaa n.k litanatoa shilingi ngapi, baada ya hapo awe anakulipa hesabu kwa siku kama Bodaboda, Bajaji au Daladala. Hiyo itamfanya aone kama naye ni sehemu ya kazi hiyo na atajituma zaidi. Changamoto ya kumlipa mshahara ni kwamba atakuwa na uhakika kuwa hata asipofanya kazi kwa bidii, mwisho wa mwezi atalipwa tu.
Mm nipo dar ndugu kibambaUko maeneo gani mkuu,
Aafrshi nilijua upo karibu na nilipo ningevikodisha niendeshe hio businessMm nipo dar ndugu kibamba
[emoji15] [emoji15] duh kwani hii kazi imekua kama zile za ualimu,udaktari n.m!!!? Malipo mnakubaliana wenyewe bhn, sasa kama kwa siku unaingiza 25k then tukakushauri umlipe 30k utamlipa? Tenga % ya mauzo kwa siku/mwezi yanayopatikana uwe unachukua wewe na % nyingine achukue yeyeWakuu habari za mchana kwa anae fahamu vijana wa kukaanga chips malipo yao yanakua kiasi tafadhali anijuze...
[emoji1] [emoji1] [emoji1] una utani na makabila ya watuInategemea umepata kijana kutoka eneo gani, kama ni Mgogo hata ukimwambia kuwa asikuletee chochote bali pesa yote achuke, atashindwa tu.
Ngoja na mm nivute kigoda taratibu nipate kujua pakuanzia na hii biashara aiseee.....vimishahara havitoshi kabisa yan..........aarrgghh
Chips zinalipa jipange tuu ziwe za ubora all the bestZA asubuhi hii Wadau
Nimekuwa nikiwaza namna ya kuanzisha mghahawa kwa mda mrefu na sasa naona kama wakati umefika.
Ingawa nahitaji kuuza chakula ila nimeona nianze na chips halafu vigine vitafata pole pole..
Ninachohitaji kujuwa kutoka kwa wazoefu ni.
1. Namna ya kuboresha chips lakini ziwe na faida.
2. Faida ninayoweza kutegeneza.
3. Vitu gani nikiweka kama nyogeza mfano.. kachumbali.. vitaweza kuvutia wateja zaidi.
4. Wazo lolote zuri unaweza ukaniogezea.
Mimi sitakuwa kuwa mpishi kwa hiyo itabidi niweke mtu wa kupika..
Tayari nimepata eneo na ni karibu na stand ndogo hivyo kuna muingiliano wa watu.
Nakaribisha wazo na ushauri. Na kama unaona tunaweza kuongea kuliko kuandika. Basi sio mbaya ukanipa namba yako PM na nitakupigia.
Mwanza kwetu.
Chips zinalipa jipange tuu ziwe za ubora all the best
Ngoja nitulie nitawapa ABCNami nangojea
Kaka na upande huu umepitia pitia kidogo?Ngoja nitulie nitawapa ABC
mkuu huwa si mwandishi tuuu bali kujua na wengine wanaandika na kuwaza niniKaka na upande huu umepitia pitia kidogo?
Ngoja nitulie nitawapa ABC