budebajr
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 380
- 226
Jibu Zuri zaidiItakuwa vizuri kama utamwajiri bila kumlipa mshahara, bali chambua ufahamu gunia la viazi na gharama nyingine kama mafuta, mkaa n.k litanatoa shilingi ngapi, baada ya hapo awe anakulipa hesabu kwa siku kama Bodaboda, Bajaji au Daladala. Hiyo itamfanya aone kama naye ni sehemu ya kazi hiyo na atajituma zaidi. Changamoto ya kumlipa mshahara ni kwamba atakuwa na uhakika kuwa hata asipofanya kazi kwa bidii, mwisho wa mwezi atalipwa tu.