Biashara ya chips: Faida na Changamoto zake

Kaa ukijua hela huwa haikosi matumizi. Pesa ya mtaji ulikosea kuiweka ndani ukidhani itaendelea kubaki ile ile 1M. Maana lazima utapata tu jambo litakalo hitaji utatuzi wa kifedha.

Na huwezi kwenda kukopa maana una 1M ndani. So utachukua kidogo kidogo, siku akili zinakuja kukaa sawa imebaki laki 1, na hiyo unaamua bora tu uimalizie.

Learn to deal with your procastination.
 
Ndugu yangu mimi ni muhanga wa swala kama hilo kutoka kwa ndugu zangu na watu wa kalibu, ngoja nikupe ushauri.

Ukiitaji kufanya utafiti wa biashara, usiombe ushauli kwa watu wasio wafanyabiashara husika na kwa watu wasioamini kwenye mambo ya biashara, wapo watakaochangia ambao hawajawahi hata kufanya biashara (hao watakuvunja moyo), wapo wanaofanya biashara wakafeli kwa uzembe wao (pia watakuvunja moyo).

Kitu cha pili epuka sana kutoa wazo lako kwa kila mtu hasa wakalibu yako ndugu jamaa na marafiki, wapo wasiopenda mafanikio yako watakuvunja moyo, wapo watakaokutia uwoga kwakua wao ni waoga.

FANYA MAAMUZI MAGUMU: Unapokua na wazo la biashara, fanya utafiti kwa waliofanikiwa kwenye biashara hiyo, epuka sana kua na mawazo meeengi ya kufanya, chagua kitu kimoja na ukifanyie kazi utafanikiwa, kisha anzisha kingine baada ya hiki cha kwanza kua kimenyooka, utakua kama wanaoitwa matajiri, kila la kheri!

NB; Nilikua kama wewe ila kwasasa nasubili kuthibitisha walionipinga kua hawakua sahihi.
 
 
Nimekuelewa sana Mr zero IQ ubarikiwe umenitia moyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenena mkuu...
 
Mi nimeshindwa kuelewa kabisa, kwa wazo lake mbona mkuu Zero IQ amechanganua vizuri tu, siku zote tusiwe man of excuse kwa kuwa most of our problems source ni sisi wenyewe, huruma za dunia hazitufanyi tusonge mbele.
 

Ila 1mill kwenye biashara kubwa kuliko wengine haitoshi ila kama ana Banda tayari na pia ana vyombo labda iyo 1m ni mtaji wa chakula tu yani Viazi mayai na nk..


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hatari sana Mkuu,


Nimeipenda hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanadamu mtu wa kwanza kumlaumu ni wewe mwenyewe, hamna mtu aliyeshikilia pesa zako ushindwe kufungua kibanda chako
Mr worldwide
 
Watu mnajuwa kuweka uchawi kwenye mawazo ya watu. Jlitaka aanze na mil 10

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa ushauri,mkuu mimi nataka kufungua maeneo ya kimara mwisho najishauri shauri hapa
 
Habari wakuu, Mimi ni kijana wa miaka 20, nina shiling 1,000,000/= nawaza niifanyie biashara gani lakini sijapata jibu, naombeni mnisaidie mawazo yenu tafadhali [emoji120][emoji120][emoji120]
Asanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesema kitu cha kweli....
 
Ila usiwalaumu waliokukatisha tamaa walikuwa wanatoa maoni yao juu ya hii biashara na sidhani kama lengo lao ilikuwa nikukukomesha bila ni kushare kile wanachokijua...

Ndio maana wanasema unapopewa ushauri unatumia na akili zako pia usichukue ushauri mia kwa mia.
 
Ni mitaa gani hiyo mkuu
 
Ila 1mill kwenye biashara kubwa kuliko wengine haitoshi ila kama ana Banda tayari na pia ana vyombo labda iyo 1m ni mtaji wa chakula tu yani Viazi mayai na nk..


Sent from my iPhone using JamiiForums
Milion ilitosha ndugu gunia mbili 120, kukutoa watano 30 mkungu was ndizo 40 mafuta dumu 55 nyama kilo 3 elfu 30 mayai try 5 kwa 45 sahani jijiko umma,flapen,lakugeuzia chips Jag,ndoo, sahani chakukatia kachumbali ,visu haiishi laki,

Mziki kabati, umeme,banda na majiko,
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Ila 1mill kwenye biashara kubwa kuliko wengine haitoshi ila kama ana Banda tayari na pia ana vyombo labda iyo 1m ni mtaji wa chakula tu yani Viazi mayai na nk..


Sent from my iPhone using JamiiForums
Mtu kama huyu anaongea hivyo unafikili anaweza kukushauli nini mara nyingi jiongeze pale unapoamua kufanya jambo flani
 
Mzee laki tano hapo inatumika pamoja na kulipa mafundi, mi nimejenga banda la kawaida tu bati tano, nguzo nne, na kuzungushia turubai imenitoka 500, hamna ujenzi mrahisi mzee nimeamini
shkamoo ujenzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1430][emoji1430][emoji1430][emoji1430]
 
mkuu unazidi kumkata maini tu na hio gharama ya freezer.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…