Biashara ya chips: Faida na Changamoto zake

Wadau naomben mnisaidia nimefungua kasehem kwaajili ya kuuza chipsi na huu ndo mwanzo yaani naelekea kukata tamaa maana kila siku nakula loss na nilikuwa nimeweka mtu nakosa hata pesa ya kumlipa em nisaidieni nifanyeje ili niikuze hiyo biashara? Maana wateja nnao wapata niwachipsi kavu tu hasa hata faida ikija nikidogo au kwakuwa ndo mwanzo au nifanyeje ili nikuze biashara yangu.
Ngoja wala chipsi waje....hususani wale wa mkoa wa makonda
 
Sidhan maana huwa naenda kumsimamia mkuu ila npo mkoan au ndo sababu? Au ndo mwanzo maan sielewi.
Nilijua upo darisalaamuu. Kumbe upo mkoani ndo maana. Hiyo biashara haiendi mkoani iyamishie Dar. Vijana kwa wababa wanatafuna chipsi hatari
 
Nina mpango wa kuanzisha hii kitu dodoma, nitakuwa nanunua viazi mbeya maana debe ni 5000 au 6000
 
Wakuu habari zenu poleni kwa mapambano ya kila siku, nimepata sehemu yakuuza chipsi chuoni , sehemu yenyewe ni cafeteria ambayo wanafunzi uitumia zaidi wakati wa mchana,

Naomba ushauri wenu ni mbinu gani nawezakuzitumia kupata wateja wengi na wakudumu pia nitamwajiri mtu mwenyesifa gani mbinu za usimamizi n.k mimi ni mwanafunzi na pia sina uzoefu sana na hii bihashara natanguliza shukrani pia mnisamehe kama nitakua nimeharibu mahalii.

Karibuni...
 
Wakuu habari zenu,
Poleni kwa mapambano ya kila siku, nimepata sehemu yakuuza chipsi chuoni , sehemu yenyewe ni cafeteria ambayo wanafunzi uitumia zaidi wakati wa mchana,
Naomba ushauri wenu ni mbinu gani nawezakuzitumia kupata wateja wengi na wakudumu...pia nitamwajiri mtu mwenyesifa gani....mbinu za usimamizi n.k..
Mimi ni mwanafunzi na pia sina uzoefu sana na hii bihashara,
Natanguliza shukrani pia mnisamehe kama nitakua nimeharibu mahalii..
Karibuni...
Soma Uzi wa Dr. Said kwenye jukwaa hili unaosema, Jinsi ya kuwalenga wateja vizuri.
 
Mmi nitaka kuanza biashara ya kuchoma chips je inalipa na kama inalipa ni kwa mfumo au vigezo vipi?, pia kama hailipi naombeni mchanganuo na mawazo yenu wadau, lakini biashara hiyo nataka kuifanyia dar.
Kama upo dsm ni pm nikuuzie juice safi ya matunda tunauza kuanzia lita 5 elfu nane tu
Unatoa glass 14

Unaruhusiwa kuonja kabla ya kununua mkuu
 
Wakuu habari zenu poleni kwa mapambano ya kila siku, nimepata sehemu yakuuza chipsi chuoni , sehemu yenyewe ni cafeteria ambayo wanafunzi uitumia zaidi wakati wa mchana,

Naomba ushauri wenu ni mbinu gani nawezakuzitumia kupata wateja wengi na wakudumu pia nitamwajiri mtu mwenyesifa gani mbinu za usimamizi n.k mimi ni mwanafunzi na pia sina uzoefu sana na hii bihashara natanguliza shukrani pia mnisamehe kama nitakua nimeharibu mahalii.

Karibuni...
Ukifungua ni pm niwe nakuuzia juice safi kabisa ya matunda kwa bei ya lita 5 buku 8 tu mkuu

Nb: lita tano unatoa glass 14
 
Wakuu habari zenu poleni kwa mapambano ya kila siku, nimepata sehemu yakuuza chipsi chuoni , sehemu yenyewe ni cafeteria ambayo wanafunzi uitumia zaidi wakati wa mchana,

Naomba ushauri wenu ni mbinu gani nawezakuzitumia kupata wateja wengi na wakudumu pia nitamwajiri mtu mwenyesifa gani mbinu za usimamizi n.k mimi ni mwanafunzi na pia sina uzoefu sana na hii bihashara natanguliza shukrani pia mnisamehe kama nitakua nimeharibu mahalii.

Karibuni...

Umeanza masters mkuu?

Mimi sina uzoefu na biashara ya chipsi lakini kitu ambacho wauza chipsi wachache wameinvest kwacho na kinawalipa ni ubora

Nachukulia mfano wa May Weather Kinondoni (Mzabuni aliyepita sio huyu wa sasa) na jamaa anaitwa Makamba pale Msasani hawa jamaa wana chipsi nzuri nyembamba tamu kweli na vikorombwezo vingi tomato,saladi nzuri na safi,ukwaju na mayyonise kiasi kwamba ukila pale lazima utamani kurudi

Jamaa kaweka vipande vya kuku anavikaanga kwa ustadi mkubwa,firigisi,mishikaki na samaki

Invest kwenye ubora mkuu utanipa mrejesho
 
Mdau vipi ulishaanza biashara au? Nami pia niko interested na kufanya hiyo biashara...
Nipe neno lako kutokana na uzoefu unaoupata
 
Hii biashara ukipata eneo sahihi na mtu sahihi utapiga pesa ila hivyo vyote vikiwa kinyume chake andika maumivu tu..
 
Mdau vipi ulishaanza biashara au? Nami pia niko interested na kufanya hiyo biashara...
Nipe neno lako kutokana na uzoefu unaoupata
Mkuu bihashara nimeanza tayarii, kiukweli jf ni sehem nzur sana yakupata elimu na ujasiri wa kufanya jambo,
Bihashara yangu inaweek 2 tu mpaka sasa,
Plan yangu nikuitathimini kwa mda wa week 3 then nitaweza kusema ikoje,

Ushauri wangi kwako ni anza kufanya usisubiri kukatishwa tamaa, changamoto utajifunzia mbele
IMG-20180413-WA0008.jpeg
 
Umeanza masters mkuu?

Mimi sina uzoefu na biashara ya chipsi lakini kitu ambacho wauza chipsi wachache wameinvest kwacho na kinawalipa ni ubora

Nachukulia mfano wa May Weather Kinondoni (Mzabuni aliyepita sio huyu wa sasa) na jamaa anaitwa Makamba pale Msasani hawa jamaa wana chipsi nzuri nyembamba tamu kweli na vikorombwezo vingi tomato,saladi nzuri na safi,ukwaju na mayyonise kiasi kwamba ukila pale lazima utamani kurudi

Jamaa kaweka vipande vya kuku anavikaanga kwa ustadi mkubwa,firigisi,mishikaki na samaki

Invest kwenye ubora mkuu utanipa mrejesho
Nimeyaamini haya maneno...
 
Mkuu bihashara nimeanza tayarii, kiukweli jf ni sehem nzur sana yakupata elimu na ujasiri wa kufanya jambo,
Bihashara yangu inaweek 2 tu mpaka sasa,
Plan yangu nikuitathimini kwa mda wa week 3 then nitaweza kusema ikoje,

Ushauri wangi kwako ni anza kufanya usisubiri kukatishwa tamaa, changamoto utajifunzia mbeleView attachment 750706
Nashukuru sana broo kwa hiyo courage yako!!!..
Ila nina laki 6 tuu mkuu, vipi naweza nikaanza nayo hiihii au nisubiri niiongeze kwanza?
 
Hiyo hela inatosha mbona ndugu.. Jiko la pumba 15,000/= kabati 150,000/= jiko la mishikaki la kimtindo 20,000/=.. Jiko la mkaa ni 25,000/= ukitaka kuokoa gharama nenda gereji wakupe rim la gari baada ya hapo peleka kwa fundi welding akutengenezee.. Una mpoza hela kidogo tu..karai..sahani..flampeni..chujio havizidi 60,000/= hela unayo baki nayo n kulipia frem au kujenga banda la kimtindo na mtaji
 
Back
Top Bottom