Biashara ya chips: Faida na Changamoto zake

Biashara ya chips: Faida na Changamoto zake

Wakuu heshima yenu.

Naomba mwongozo kidogo, ndoo kubwa ya viazi, inaweza toa sahani ngapi?
 
Ndugu naomba ufafanuzi juu ya biashara ya chipsi kwa yeyote anayefahamu na requirements zake.
Ukisoma huu Uzi ushauri wa msingi utakaoapata ni
1. Usiogope kuibiwa bali hakikisha faida inapatikana
2. Usimbane sana mtumishi wako maana naye ni binadamu na ana malengo zaidi ya hiyo 5000/- unayopanga kumlipa kwa siku, hivyo mpe hesabu akuletee kiasi gani kingine atajijua yeye
Na kadharika na kadharika
USHAURI WANGU; unaweza ukamkabidhi kijana Banda akuletee 25000 kwa siku wakati kwa mbinu za kibunifu na kibiashara (ambazo yeye anayefanya kwa mazoea hana) unaweza ukaikuza faida mara dufu na ndio ukamwachia
Yeye aandae na auze, wewe chukua jukumu la marketing
 
Chipsi inalipa mbona mie mpishi nimesoma nje nimerud tz nauza chps kama nilizokua namlisha mzungu nimeboresha sio kabanda nimechukua frem nafanya mambo ndani. Mfano hai nenda uwanja wa taifa kuna rasta anauza chips na source za ajabu ule ujuzi aliupata kwa wa portugues .

Mkuu nenda pale minazini bar ongea na yule ras gebo ndo bosi we mwambie kanipa maelekezo ras dona mueleze mawazo yako na angalia mapish yake viungo vya kuku na vingine venye umuhmu kila laheri.
Hapa ndio nawakubali Ma Ras. I and I
 
Nimekuelewa Bro zipo biashara za ww kuanza toka mwanzo coz investment yake kwanza nikubwa,sasa kwa biashara ya chips itakufanya kweli uache kazi uliyoajiliwa ili uifatilie?..zipo biashara za kuacha kazi na kuingia mzima mzima coz investment yake ni kilio lakini sio chips au daladala,,huo ni mtazamo tu
Inategemea na hilo goli lenyewe, kuna ambao wanawekeza pakubwa.
 
Mswahili bana, we mwenyewe umechoka halafu unataka kujifanya ofisa uje kukusanya hesabu tu?

Hivi ni lini mtajifunza kwa wahindi? Hebu pita migahawa ya wahindi kama hujawakuta mke na mume wanakaba wenyewe cashier.
😂😂
 
Kuna dogo alikua anauza chips hapa kitaa, nafasi ndogo kutofautisha na wapinzani wake...
Ila ukionja mishikaki, kuku na chips zake kesho unarudi, binafsi nilikua mteja wa mishikaki.
Wadada wa mujini wamempurusa mtaji wote.

Dogo hakuwahi kulaza bidhaa.
 
Wataalam wa udambwi udambwi(sauce) wa aina mbalimbali, msaada wenu unahitajika!!!
42760729_326720204752101_1943048164935414511_n.jpg
 
Assalamualaikum warahmatullah wabarakatu kwema ndugu zangu mi Nina changamoto Moja nafanya biashara ya chips lakini tangia nianze hakuna faida yyte ninayopata sasa nilikuwa naomba msaada wa ushaur Nini nifanye kuboresha biashara yangu Ili nipate faida
 
Pole sana mkuu.. hiyo biashara ni pasua kichwa. Kwanini usibadili ukafanya biashara nyingine?
 
Back
Top Bottom