Hapo nimemkatisha tamaa vipi? shida yako elimu ndugu yang sio bure. Ukitaka kumsaidia mtu lazima umpigie hesabu ajue kuwa mahitaji yake ni yapi.
Jiko la gesi: labda useme optional
Karai: bei 40000/-
Mafuta: bei 30000/-
Mkaa: 26000/ gunia dogo
Kodi: Frame ... huwezi pikiq nje
Viti na meza: hapa mbili tatu
Viazi: Ndoo 20000/-
Sahani:......
mambo mengi lazima ujue sio unakurupuka. Lazima hapo ajue anahitaji nni anyways....
Unajua bei ya kabati sh ngap? bei ya kabati peke yake ni 200000Kwa nini aanze na mafuta ya 30,000 wakati lita nne zinatosha @4000
Mkaa anapimisha @1500
Kodi Za chips wengi hulipa per day
Viazi @kg 4,000 anaweza kuanza na kg kadhaa
Tray ya mayai 8,000
Karai 18,000
Sahani mfupa dozen 18,000
Jiko anaanza na mkaa
Hapo chap chap tu utaona 300,000 inafit kabisa
Acha kupotosha watu wewe inaonekana hii biashara huna unachokijua!!mtu anaanza na mkaa wa kupima wa 5000,mafuta lita 2 ya 8000, viazi ndoo kubwa 16,000,kuku 2(15000),nyama kilo moja 12,000!!Gunia la elfu 26 ni gunia dogo sana unajua bei ya mkaa. Unajua chips zinapikwa ma mkaa kiasi gan?
Naweza kua naongea na mtu anayelisjwa na wazaz wake najisumbua.
Ushawahi fanya biashara ya chips?
DuhAcha kupotosha watu wewe inaonekana hii biashara huna unachokijua!!mtu anaanza na mkaa wa kupima wa 5000,mafuta lita 2 ya 8000, viazi ndoo kubwa 16,000,kuku 2(15000),nyama kilo moja 12,000!!
Hiyo 300,000 ni kubwa sana!!inategemea na ukubwa wa biashara anayotaka kuanza nayo!! Na sehemu,kuna sehemu unaenda kukodi unakuta vifaa vyote vipo ni mtaji wako,sasa hapo laki 3 itakuwa ndogo?Duh
Kupika chips sio kama kupika chakula cha nyumbani. Unapika chips kibiashara au unapika chips upike chips?
Nina boashara hii ndo maana nauliza maswali madogo tu niwasaidie sina haja ya kubishana. .
Kama mtoa mada hana kifaa chochote anataka kufanya bishara ya chips unaona mtaji wa laki tatu unatosha?
*Kabati tu la aluminum bei 150,000 mkononi
anyway ngoja nikujib sawa mjinga mjibu kutokana na ......
Kwahiyo pesa labda utafute mtu mwenye vifaa akukodishie uwe unamlipa kwa siku,pia utafute sehem ya grosary iliyochangamka uongee na mmiliki uwe unauza chips kwa pembeni hapo,nae uwe unamlipa kwa siku. Hapo utatoboa.Nifanye kuwasbr
Haiwezekani.Sinaaa yaaan ndo naanza
Mkaaa unapima 1500? Ebu kiweni serious bac… chips zinakula mkaa balaah . Labda aanzie kunuKwa nini aanze na mafuta ya 30,000 wakati lita nne zinatosha @4000
Mkaa anapimisha @1500
Kodi Za chips wengi hulipa per day
Viazi @kg 4,000 anaweza kuanza na kg kadhaa
Tray ya mayai 8,000
Karai 18,000
Sahani mfupa dozen 18,000
Jiko anaanza na mkaa
Hapo chap chap tu utaona 300,000 inafit kabisa
Umeangalia hiyo post ni ya mwaka gani?Mkaaa unapima 1500? Ebu kiweni serious bac… chips zinakula mkaa balaah . Labda aanzie kunu