Hii ndio Jf bwana[emoji16]20k ndo faida ya kila siku
Mtaji uliotumia ni kiasi gani?
😳😳😳Hii ndio Jf bwana[emoji16]
Mtaji sio shida kwa mleta mada.20k ndo faida ya kila siku
Mtaji uliotumia ni kiasi gani?
Mtaji wa biashara ni 190k .ila imenidondoka kama 1.7 milion kuanzisha hiyo place.ndio maana naumiza kichwa kutafuta altenative ya kuongeza kipato atleast nitoke japo na 30k baada ya operating costs.20k ndo faida ya kila siku
Mtaji uliotumia ni kiasi gani?
Nlichotaka kujua kama mtaji unendana na faida anayopata.Mtaji sio shida kwa mleta mada.
Kwahyo hyo 20k ni mauzo ya siku?Mtaji wa biashara ni 190k .ila imenidondoka kama 1.7 milion kuanzisha hiyo place.ndio maana naumiza kichwa kutafuta altenative ya kuongeza kipato atleast nitoke japo na 30k baada ya operating costs.
Mtaji wa biashara ni 190k .ila imenidondoka kama 1.7 milion kuanzisha hiyo place.ndio maana naumiza kichwa kutafuta altenative ya kuongeza kipato atleast nitoke japo na 30k baada ya operating costs.
Kuhusu suala la vijana nalifanyia kazi maana wanavaa nguo hizo hizo kila siku .pia nimegundua hawana customer care ya darasan.sehemu sio local sana ni barabara kubwa kabisa na karibia na kituo cha mwendokasi.Tupo wawili tunakimbiza sehemu moja ila mwenzangu ananizidi mauzo pia sijali sana ni suala la riziki tu siwezi mlalia mlango wazi.japo watu wa maeneo haya wanasema jamaaa ndumba nyingi lakin pia kwangu sio kitu kwani sijawai kuogopa wachawi na deal na ishu zangu tu......any way nalifanyia kazi ulilo niambia......you seem smart mkubwa mgoja nikupe feedback kama mteja.
Hakikisha vijana wako wasafi, wanawake wakinunua chips kwa muhudum mchafu huwa hawarud tena
boresha eneo liwe zuri linavutia zaid, sijajua kwako ila kama pako local hautopata wateja wengi,
Mfano: Napokaa kuna sehem mbili zinauza chips kuna sehem moja nzuri inauza bei juu kuliko ile nyingine lakin yule wa bei juu ndio anamaliza kila siku sabab
anajaza nyingi, sehemu safi inavutia na ana zile kachumbari, sijui maembe nn mambo mengi mengi wakat huyu mwingine(local) anauza bei chini ila pako hovyo anaanda zile chips kwa haraka akimaliza anakusukumizia yani, badala ya kukupa mkononi. Kwahiyo hata services zikiwa hovyo hupati watu
Hapana .kuhusu costs ni kweli zipi cost za hapa na pale na hazikwepi .kuhsu vijana kupiga ni suala gumu maana hela napokea mwenyewe .Mauzo si haba ila mwisho wa siku unajikuta na faida chache kutokana na mafuta kupanda bei na umeme tunaotumiaBiashara kichaa hiyo naipata. Hela nyingi inapotea kwenye expenses + fixed costs na hapo bado kijana hajakupiga.
Hapa kuna kama miezi sita .ila nimechukua umiliki kutoka kwa mtu alieacha nami nikafungua biashara hiyo hiyo.Una muda Gani tangu ufungue hiyo biashara?
Kama ni chini ya miezi mi3 Hiyo elf 20 ni Hela Nzuri saaana amini hivyo maana biashara hupevuka taratibu taratibu, ila
Cha kukushauri weka juhudi, ongeza manjonjo Katika mapishi (Katika mapishi Cha chipsi Kuna mikono na mikono ya Upishi kunawengine hata uwapeleke ulaya kusomea mapishi chipsi zake haziwezi kuwa tamu Kamwe [emoji2]) ,, Pia ongeza Huduma za ziada Eg juisi, Matunda Yaliokatwa katwa, popcorn,
NB: nikama utani, ila amini brother uchawi Katika biashara upo [emoji2955].... Narudia Tena kusema Upo[emoji1]
Zingatia huu Ushauri ukikupendeza nimetumia zaidi ya nusu saa Kuandika,
Broo.umenena vyema .hapa changamoto kubwa ninayokumbana nayo natumia frier kwa siku umeme ni wa buku buku tano a usiku naweka wa buku 3 ili kuhifadhia vitu vilivyobaki kwwnye friza visiharibike na hapa gunia linaisha siku tatu.Kaka mi hiyo biashara nimeifanya na mwanzoni ilinitesa sana ila nilikuja kugundua sehemu moja fixed cost usipojua kuzi control zitakuumiza sana. Sijui ww unatumia nini kupikia umeme, gesi au kuni. Hapo kila kimoja kina faida na hasara yake. Mfano gesi itaivisha haraka sana ila hasara yake ni kwamba inakula sana mafuta kwa sababu inachoma sana lile karai. Umeme unatoa chipsi mbaya sana zinatoka kau kau. Mkaa ni mzuri ila upo slow sana. Mi wakati nafanya nilianza na jiko la pumba ambapo nilikuwa nanunua gunia la pumba za mbao kwa buku na kwa siku nilikuwa natumia gunia mbili ila changamoto niliyoipata sehemu niliyofunguaga ilikuwa ni shule na pale inahitaji mzigo mwingi wa wakati mmoja so jiko la pumba likawa linatumia dk 36 hadi 40 kutoa sahani kumi hadi 15 kitu ambacho kwangu ilikuwa hasara. Nilichokiamua nikaamua kutengeneza jiko la gesi na nikanunua high pressure regulator ambapo nilikuwa natumia dk 5 hadi 10 kutoa sahani 30 hadi 35 kitu ambacho kwangu ilikuwa nafuu. Hasara yake kubwa ilikuwa ni mafuta kuisha haraka maana ule noto unaunguza sana karai lakini pia kila siku mbili nilikuwa nanunua gesi. Kwa siku nilikuwa nauxa hadi gunia mbili ila changamoto ni ujazo wa magunia ya viazi ukawa umepunguzwa kutoka kuwa na ndoo tano kuja kuwa na ndoo nne lakini bei ikapanda hadi 80,000/=. Nikaona hii biashara kichaa nikaachana nayo
Acha kudanganya watu..kila biashara kila mtu naweza kufanya hakuna biashara special kwa ajili ya watu fulani.Tafuta vijana wa kizanzibar
Tafuta vijana wa kizanzibar
Tafuta vijana wa kizanzibar
Tafuta vijana wa kizanzibar
Wape hiyo biashara halafu Lete feedback
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Kuhusu suala la vijana nalifanyia kazi maana wanavaa nguo hizo hizo kila siku .pia nimegundua hawana customer care ya darasan.sehemu sio local sana ni barabara kubwa kabisa na karibia na kituo cha mwendokasi.Tupo wawili tunakimbiza sehemu moja ila mwenzangu ananizidi mauzo pia sijali sana ni suala la riziki tu siwezi mlalia mlango wazi.japo watu wa maeneo haya wanasema jamaaa ndumba nyingi lakin pia kwangu sio kitu kwani sijawai kuogopa wachawi na deal na ishu zangu tu......any way nalifanyia kazi ulilo niambia......