je parle
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 2,022
- 3,919
Bismillah...
Nimeanza biashara ya kiepe yai. Chipsi zege Dar es Salaam ila nachoomba kutoka kwa wadau wazoefu ni namna gani naweza kuongeza return per day kwa maana hapa gharama za mafuta ni ghali japo viazi bei ni standard 60.000 kwa gunia na mafuta ni 6000 kwa litre.
Kuku ni 6500 ila mwisho wa siku unajikuta unatoka na 20k na bado hujatoa vijana wa kazi. Nipeni uzoefu namna gani naweza kuongeza faida ya siku maana nauza ndoo mbili kubwa kwa siku hiyo ni minimum.