Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
we unaona sawa kitu cha elfu 5 kiuzwe elfu kumi? kichwa umepewa ufikirie na sio kusukia twende kilioni!!
wee acha ubahiri wa kwenu bana...mbona mheshimiwa mbunge wako kapuya ananunua mbunye ya tsh 2,000/= kwa kuinunulia gari tena benz
King'ast wewe ni mama au! huna mtoto au mtoto wako hatarajii kutendewa hivyo! Ungelikuwa una mtoto kuwa baadaye atatendewa hivyo ungelilaani kitendo cha walimu hao!
we unaona sawa kitu cha elfu 5 kiuzwe elfu kumi? kichwa umepewa ufikirie na sio kusukia twende kilioni!!
nimecancell
King'ast wewe ni mama au! huna mtoto au mtoto wako hatarajii kutendewa hivyo! Ungelikuwa una mtoto kuwa baadaye atatendewa hivyo ungelilaani kitendo cha walimu hao!
Huyo teacher. Namkumbuka ni mngese.. ili usipewe Supp. Inakubidi ununue tu.
Kama unadhan kununua compdm ni gharama mwambie mwanao anunue vitabu kwa allowance wanayopewa na board kwa ajili ya vitabu acha kuendekeza ujinga.
we unaona sawa kitu cha elfu 5 kiuzwe elfu kumi? Kichwa umepewa ufikirie na sio kusukia twende kilioni!!