Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
wanachodai walimu ni kupoteza mda wao kuundaa notes na kukupa urahic mwanafunzi wakati wa kusoma hivyo unatakiwa uchangie mda wake na material aliokuandalia la cvyo afundishe halafu asepe ubaki unatafuta your own