biashara ya Copper

biashara ya Copper

LEX STEELE

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2011
Posts
224
Reaction score
110
Jamani eeh

hebu nifahamisheni hii biashara inakuwaje maana nimepewa offer 2 leo

Moja ya mzigo unaotoka moja kwa moja from Lubumbasi

Ya pili ni iliopo hapo Dar

jamaa wanataka niwatftie wateja toka dunia nzima

wako tayari kwa inspection za kila aina ambazo mteja atataka maana isijetokea mambo ya kuuziwa mabati kama walivyofanya akina msofe

sasa mnasemaje inalipa au inakuwaje?

na pia inawezekana vipi mtu alete shaba all the way toka Congo kisha zikakaa tuu hapa Dar? inamaana mtuyuko tayari kuingia gharaa za transport na storage hivi hivi?

Nimeambiwa kuwa wahusika ni ''watu wa juu'' sasa na mie kama mtoto wa mjini huwa nakuwa na magutu na michongo hii.

Mtu wangu yuko tayari kupunguza bei up to 30 % kwa mzigo utakaotoka Lubumbashi
haya hebu nifahamisheni hili jambo limekaajeje kabla sijaingia kazini?
 
Hii biashara inalipa sana as long as una deal na watu uhakika.

muhimu uwe na order ya tani kubwa sana
 
Utapeli achana nao kabisa kwani kunawatu wamelizwa
 
Utauziwa mzigo wa Mwakyembe jiangalie.
Unafikiri msofe aliuza bati?
Msofe aliuza mzigo realy ila ulikuwa wa wizi.
 
Back
Top Bottom