Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

Tanga wanapatikana sana kipumbwi, mwaboza, monga- vyeru, na sehem za bahar like sahare, ila sana kipumbwi mwaboza ni uhakika mkuu
 
Yuko jamaa zanzibar anauza dagaa wakavu kwa jumla gunia kilo 100 anauza laki 5 mpaka laki 4.5 ( 500'000- 450'000) ila sijui kama bado mzigo anao na dagaa wake sio wale wa mchanga wako vizuri sanaa
 
Hilo gunia la dagaa la kilo mia lina ukubwa gani? Maana gunia la dagaa wa Mwanza kina kilo 40.
 
Ukubwa sitaweza kuujua nadhani hapo ushajijibu mwenyewe kama la mwanza kilo 40.. na la huyu jamaa yeye kl100 kwa ww ucheze na kilo tu hizo kuhusu ukubwa wa gunia lake sijui hufungaje
 
Ila lazima litakua kwa ukubwa liko tofauti na la mwanza mkuu...
 
Wana janvi, kwanza Kabisa naenda kumshukuru Mungu, nahitaji kupata washirika tutakaofanyao nao biashara ndani na mke nje ya nchi ili mradi tu kama soko la uhakika linapatika.

Mimi nafanya biashara hii kutoka mwanza visiwani na kuleta Tabora mjini, nahitaji kujitanua zaidi kibiashara, Kwa hiyo km kuna mdau ameona mahali kunasoko zuri tujulishane ili tupige kazi pamoja, hasa wale wa kanda ya kusini, Lindi, Mtwara, Songea, na Iringa naomba tujulishane masoko ya dagaa wa mwanza. Kwa yeyote ambae yupo tayari anicheki Kwa namba 0713851751
 
Dagaa wako unauza gunia bei gani na nataka kujua ubora wa dagaa zako mana Dagaa wa mwanza sasa sijui kwanini vumbi linakuwa jingi kuna ukaangaji mbaya
 
Inategemeana na ujazo wa gunia, dagaa wazuri ambae hawana mchanga Huwa nawachukulia bukoba, Kila gunia linaujazo wake wa kilo, tunaweza kuwasiliana zaidi Kwa maelezo ya kina
 
Lile la debe 15 unauza bei gani
 
Back
Top Bottom