Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

Unapatikana wap?
Dagaa zinatokea wap?
Dagaa ni wa aina gani?
Je? Una safirisha mkoa had mkoa

Asante [emoji120][emoji120][emoji120]
Napatikana tanga mjini...

Dagaa zinatokea huku tanga....

Nna dagaa nyama ( dagaa uono),,, na dagaa wakavu ambao wameanikwa tuu... Yaan Hawa dagaa wakavu wapo Kama wale dagaa wa mwanza isipokuwa Hawa Ni wa maji chumvi...
Lakini hapa nmetangaza dagaa nyama......

Mikoani pia nasafirisha kwa uaminifu mkubwa..
 
Dah umenikumbusha uono....ntakuja siku niwale tena...tanga kitambo sana
 
Napatikana tanga mjini...
Dagaa zinatokea huku tanga....
Nna dagaa nyama ( dagaa uono),,, na dagaa wakavu ambao wameanikwa tuu... Yaan Hawa dagaa wakavu wapo Kama wale dagaa wa mwanza isipokuwa Hawa Ni wa maji chumvi...
Lakini hapa nmetangaza dagaa nyama......
Mikoani pia nasafirisha kwa uaminifu mkubwa..
Pw pw.
 
Nitakuja na kufikia hapo kiboma guest then nitakutafuta je unapafahamu?
 
Hongeraa san mkuuu pia waambie kunadagaa mchele/ nyamaa/zanzibar/tangaa
1570169226276.jpeg
 
ndoo kubwa ya kg 10 Ni tsh 55,000.....

kwa maana hiyo kilo Ni 5,500
 
Habari! Wakuu naomba mwenye ufahamu kuhusu hii biashara ya hawa Dagaa Wengine huita wa mafia,uono,wa nyama,wa zanzibar n.k naomba kufahamu kati ya mafia,kilwa,Tanga na Bwagamoyo wapi wanapatikana kwa urahisi zaidi na kwa wingi na maelezo mengine zaidi kwa anaefahamu anaweza yaweka hapa.Ahsanteh
View attachment 833614
Ukichukuwa kutoka Kilwa ni rahisi mno.
Pia unawapata wapya kabisa.
Nipm kwa ufafanuzi zaidi
 
Habari zenu wadau... Leo nataka niwaletee biashara ya kuanza na mtaji mdogo... Biashara ambayo kama wewe Ni mwanafunzi wa chuo au mama wa nyumbani au hata mfanyakazi unaetaka kujipatia kipato Cha ziada itakufaa Sana.. biashara hii usipokua na aibu itakutoa vizuri tuu...
Hii biashara unaweza kuanza na mtaji wa 55,000... Ni biashara ya dagaa...
Kwenye hii ela utapata dagaa ndoo kubwa ambao wanafika kilo kumi...
KWENYE JINSI YA KUWA PACK SASA..
Unaweza ukafunga
gram 100 ukauza TSH 1,000
gram 50 ukuaza TSH 500.....
Sasa kwenye kila kilo moja utapata utapata packet 10 za elfu Moja au packets 20 za 500... Kwenye kila kilo moja utapata faida ya tsh 4500 ambapo kwenye kilo kumi utapata faida ya tsh 45,000 Kama kila week ukiweza kuuza Hadi kilo kumi natano hadi ishirini utajikuta mwisho wa mwezi umesave hela nzuri sanaaa...
Natamani maswali na maoni yote niyajibie humu humu ili hata ambao watakua sio wateja wapate kitu Cha kujifunza..

Brother picha iusike
hao dagaa nyama Ni wapi hao ( weka picha yao )
pia weka picha ya dagaa unao wauza ww
 
Back
Top Bottom