Qurie
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 3,644
- 3,880
Hapana sijatoa... Ila kifungashio cha elfu Moja unatumia mda mrefu sanaaaKwenye hiyo faida umetoa gharama za vifungashio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana sijatoa... Ila kifungashio cha elfu Moja unatumia mda mrefu sanaaaKwenye hiyo faida umetoa gharama za vifungashio?
Napatikana tanga mjini...Unapatikana wap?
Dagaa zinatokea wap?
Dagaa ni wa aina gani?
Je? Una safirisha mkoa had mkoa
Asante [emoji120][emoji120][emoji120]
Dah umenikumbusha uono....ntakuja siku niwale tena...tanga kitambo sanaNapatikana tanga mjini...
Dagaa zinatokea huku tanga....
Nna dagaa nyama ( dagaa uono),,, na dagaa wakavu ambao wameanikwa tuu... Yaan Hawa dagaa wakavu wapo Kama wale dagaa wa mwanza isipokuwa Hawa Ni wa maji chumvi...
Lakini hapa nmetangaza dagaa nyama......
Mikoani pia nasafirisha kwa uaminifu mkubwa..
Pw pw.Napatikana tanga mjini...
Dagaa zinatokea huku tanga....
Nna dagaa nyama ( dagaa uono),,, na dagaa wakavu ambao wameanikwa tuu... Yaan Hawa dagaa wakavu wapo Kama wale dagaa wa mwanza isipokuwa Hawa Ni wa maji chumvi...
Lakini hapa nmetangaza dagaa nyama......
Mikoani pia nasafirisha kwa uaminifu mkubwa..
Nitakuja na kufikia hapo kiboma guest then nitakutafuta je unapafahamu?Napatikana tanga mjini...
Dagaa zinatokea huku tanga....
Nna dagaa nyama ( dagaa uono),,, na dagaa wakavu ambao wameanikwa tuu... Yaan Hawa dagaa wakavu wapo Kama wale dagaa wa mwanza isipokuwa Hawa Ni wa maji chumvi...
Lakini hapa nmetangaza dagaa nyama......
Mikoani pia nasafirisha kwa uaminifu mkubwa..
HapanaaaNitakuja na kufikia hapo kiboma guest then nitakutafuta je unapafahamu?
Karibu kabisa na ofisi za raha leo..!Hapanaaa
Karibu kabisa na ofisi za raha leo..!Hapanaaa
Karibu Sana mkuuDah umenikumbusha uono....ntakuja siku niwale tena...tanga kitambo sana
Nazungumzia dagaa nyamaMkuu unazungumzia dagaa nyama au wa mafuta?
[emoji4][emoji4]...Hongeraa san mkuuu pia waambie kunadagaa mchele/ nyamaa/zanzibar/tangaaView attachment 1223215
Office za rahaleo najua zilipo... Karibu sanaakaribu kabisa na ofisi za raha leo..!
Ok wil find you!
Hongeraa san mkuuu pia waambie kunadagaa mchele/ nyamaa/zanzibar/tangaaView attachment 1223215
Bei ikoje mkuu
nimesahau mkuu nilikwenda huko mwaka 2015 ila wapo wengi sana.. sehem nyingine walipo kisiju pwani
Ukichukuwa kutoka Kilwa ni rahisi mno.Habari! Wakuu naomba mwenye ufahamu kuhusu hii biashara ya hawa Dagaa Wengine huita wa mafia,uono,wa nyama,wa zanzibar n.k naomba kufahamu kati ya mafia,kilwa,Tanga na Bwagamoyo wapi wanapatikana kwa urahisi zaidi na kwa wingi na maelezo mengine zaidi kwa anaefahamu anaweza yaweka hapa.Ahsanteh
View attachment 833614
Habari zenu wadau... Leo nataka niwaletee biashara ya kuanza na mtaji mdogo... Biashara ambayo kama wewe Ni mwanafunzi wa chuo au mama wa nyumbani au hata mfanyakazi unaetaka kujipatia kipato Cha ziada itakufaa Sana.. biashara hii usipokua na aibu itakutoa vizuri tuu...
Hii biashara unaweza kuanza na mtaji wa 55,000... Ni biashara ya dagaa...
Kwenye hii ela utapata dagaa ndoo kubwa ambao wanafika kilo kumi...
KWENYE JINSI YA KUWA PACK SASA..
Unaweza ukafunga
gram 100 ukauza TSH 1,000
gram 50 ukuaza TSH 500.....
Sasa kwenye kila kilo moja utapata utapata packet 10 za elfu Moja au packets 20 za 500... Kwenye kila kilo moja utapata faida ya tsh 4500 ambapo kwenye kilo kumi utapata faida ya tsh 45,000 Kama kila week ukiweza kuuza Hadi kilo kumi natano hadi ishirini utajikuta mwisho wa mwezi umesave hela nzuri sanaaa...
Natamani maswali na maoni yote niyajibie humu humu ili hata ambao watakua sio wateja wapate kitu Cha kujifunza..