Waje watupe muongozo tujue pa kuanziaNgoja nisubscribe kabisa.. wakuu njooni mtoe mwanga huku..[emoji122]
Umeshapata sokoWaje watupe muongozo tujue pa kuanzia
Ndio Dar na Arusha nasubiriwa tu kuanza kutumaUmeshapata soko
Piga kazi dada kila kaz in risk Wala usihofu, Mimi mwenyewe nipo Mwanza ipo siku nitakuja ninunue hao dagaaNdio Dar na Arusha nasubiriwa tu kuanza kutuma
KaribuPiga kazi dada kila kaz in risk Wala usihofu, Mimi mwenyewe nipo mwanza ipo siku nitakuja ninunue hao dagaa
Unawezaje kupata soko kabla hujaanza.Ndio Dar na Arusha nasubiriwa tu kuanza kutuma
Eeeh hii ajabu sana Kwan unazani masoko yanatafutwaje mkuu yaan uanze biashara ata masoko ujapata mfanya biashara yeyeto lazima atafute masoko kwanza awe na uhakika kuwa akianza kusaprai biashara yake inachukuliwa au ujaelewa maan ya masoko ni niniUnawezaje kupata soko kabla hujaanza.
Ndio nakata hiyo mbinu unafanuaje.Eeeh hii ajabu sana Kwan unazani masoko yanatafutwaje mkuu yaan uanze biashara ata masoko ujapata mfanya biashara yeyeto lazima atafute masoko kwanza awe na uhakika kuwa akianza kusaprai biashara yake inachukuliwa au ujaelewa maan ya masoko ni nini
Unatembelea maeneo ambayo unataka kuuzia na uwe unaliza kwa wenyeji kama biashara hiyo inanunulika upande huo kama ni biashara ya kuafirisha basi unafanya connect na watu wako wanakupa diteil zote mfano mimi dagaa natafuta masoko kwa masokoni na kwenye masupermarket so nikianza kuuza nakuwa nawasambazia.Ndio nakata hiyo mbinu unafanuaje.
Mwanza unanunua kwa sh ngapi ngapi?Unatembelea maeneo ambayo unataka kuuzia na uwe unaliza kwa wenyeji kama biashara hiyo inanunulika upande huo kama ni biashara ya kuafirisha basi unafanya connect na watu wako wanakupa diteil zote mfano mimi dagaa natafuta masoko kwa masokoni na kwenye masupermarket so nikianza kuuza nakuwa nawasambazia
Inategemeana na wewe unatak wa sh ngap lakini kuanzia elfu 1000 unapata ata jeroMwanza unanunua kwa sh ngapi ngapi?
Kwa pakti sio?Inategemeana na wewe unatak wa sh ngap lakini kuanzia elfu 1000 unapata ata jero
Kuwa na committment. Niliwahi kuifanya mwaka fulani baada ya kumaliza chuo halafu sina mchongo rasmi kitaani.Rejea kichwa cha habari hapo juu nina mpango wa kufanya biashara ya dagaa wa kukaanga wa Mwanza niwe napaki kwa vipakeji nasafirisha mikoa hii Dar na Moshi Ila sina uzoefu.
Naombeni kujua changamoto na je ni lazima nikatie kibali mtaji wangu ni wa laki tu nisaidieni njia za kufikia lengo.
Inalipa lakiniKuwa na committment. Niliwahi kuifanya mwaka fulani baada ya kumaliza chuo halafu sina mchongo rasmi kitaani.
Hapana ukiwaitaji unaenda ziwani uko wanavipmo vyao Ila wale wanao tembeza mtaan wana wanapina kuanzia jero ila kwa dagaa wakufanyia biashara nivema ukaenda ziwani elfu kumi utatoka na kindoo cha lita 10.kwa pakti sio?
Safi sana...💪💪💪Hapana ukiwaitaji unaenda ziwani uko wanavipmo vyao Ila wale wanao tembeza mtaan wana wanapina kuanzia jero ila kwa dagaa wakufanyia biashara nivema ukaenda ziwani elfu kumi utatoka na kindoo cha lita 10
To some extentInalipa lakini
Asante sana kwa taarifa mkuu. Vipi kama una weza naomba namba zako pm nahitaji maongezi zaidi.Hapana ukiwaitaji unaenda ziwani uko wanavipmo vyao Ila wale wanao tembeza mtaan wana wanapina kuanzia jero ila kwa dagaa wakufanyia biashara nivema ukaenda ziwani elfu kumi utatoka na kindoo cha lita 10