Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

Rejea kichwa cha habari hapo juu.

Nina mpango wa kufanya biashara ya dagaa wa kukaanga wa Mwanza niwe napaki kwa vipakeji nasafirisha mikoa hii Dar na Moshi Ila sina uzoefu.

Naombeni kujua changamoto na je ni lazima nikatie kibali mtaji wangu ni wa laki tu nisaidieni njia za kufikia lengo.
 
Unawezaje kupata soko kabla hujaanza.
Eeeh hii ajabu sana Kwan unazani masoko yanatafutwaje mkuu yaan uanze biashara ata masoko ujapata mfanya biashara yeyeto lazima atafute masoko kwanza awe na uhakika kuwa akianza kusaprai biashara yake inachukuliwa au ujaelewa maan ya masoko ni nini
 
Ndio nakata hiyo mbinu unafanuaje.
 
Ndio nakata hiyo mbinu unafanuaje.
Unatembelea maeneo ambayo unataka kuuzia na uwe unaliza kwa wenyeji kama biashara hiyo inanunulika upande huo kama ni biashara ya kuafirisha basi unafanya connect na watu wako wanakupa diteil zote mfano mimi dagaa natafuta masoko kwa masokoni na kwenye masupermarket so nikianza kuuza nakuwa nawasambazia.
 
Unatembelea maeneo ambayo unataka kuuzia na uwe unaliza kwa wenyeji kama biashara hiyo inanunulika upande huo kama ni biashara ya kuafirisha basi unafanya connect na watu wako wanakupa diteil zote mfano mimi dagaa natafuta masoko kwa masokoni na kwenye masupermarket so nikianza kuuza nakuwa nawasambazia
Mwanza unanunua kwa sh ngapi ngapi?
 
Rejea kichwa cha habari hapo juu nina mpango wa kufanya biashara ya dagaa wa kukaanga wa Mwanza niwe napaki kwa vipakeji nasafirisha mikoa hii Dar na Moshi Ila sina uzoefu.

Naombeni kujua changamoto na je ni lazima nikatie kibali mtaji wangu ni wa laki tu nisaidieni njia za kufikia lengo.
Kuwa na committment. Niliwahi kuifanya mwaka fulani baada ya kumaliza chuo halafu sina mchongo rasmi kitaani.
 
kwa pakti sio?
Hapana ukiwaitaji unaenda ziwani uko wanavipmo vyao Ila wale wanao tembeza mtaan wana wanapina kuanzia jero ila kwa dagaa wakufanyia biashara nivema ukaenda ziwani elfu kumi utatoka na kindoo cha lita 10.
 
Hapana ukiwaitaji unaenda ziwani uko wanavipmo vyao Ila wale wanao tembeza mtaan wana wanapina kuanzia jero ila kwa dagaa wakufanyia biashara nivema ukaenda ziwani elfu kumi utatoka na kindoo cha lita 10
Safi sana...💪💪💪
 
Asante sana kwa taarifa mkuu. Vipi kama una weza naomba namba zako pm nahitaji maongezi zaidi.
 
Back
Top Bottom