kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,746
- 2,924
Nenda sticky juu kule wadau walishachanganua gunia moja walisema laki 2 na 10Bei sijajua hasa ni shilingi ngapi kwa sasa.
Gharama zingine, niza muhimu na kawaida tu.
Kama una connection; naomba.
Laki tano inatosha kwa kuanzia,itakuwa taratibu kama utakuwa na nidhamu ya fedha.,usilete kwanza mikoani...we we nenda kisiwa goziba,au kimoyomoyo,mlumo,ghana,ukawe unanunua dagaa wabichi unawaanika huko huko wakikauka unauzia huko huko mpaka mtaji utakapokuwa mkubwa kuweza kusafirisha mikoani,
AU huko huko visiwani nunua then safirisha uje uuzie kirumba mwaloni...usihangaike kupeleka mikoani...
Sina uchoyo na wazo la biashara kumsaidia mtu yoyoye.
Mwingine anayehitaji ushauri zaidi wa biashara ya kufanya sema hapa nitakupa cha kufanya ili mradi tu uwe na ule msukumo ndani ya moyo wako kufanya biashara bila kutafuta sababu.
Kuna mdau anafanya hiyo kitu akirudi muda si mrefu nakuunganisha naeWadau; kama kuna mtu yuko Bukoba; naomba aniambie kuhusu bei ya dagaa ni kiasi gani kwa ndoo. Pia kama inawezekana; anipe namba; nahitaji kuanza biashara hiyo.
Asanteni.
Bei ya jana Bukoba mjini mwaloni ilikuwa 140,000 kwa gunia lenye wastani wa kilo 40 hadi 45. Kama uko serious nipmWadau; kama kuna mtu yuko Bukoba; naomba aniambie kuhusu bei ya dagaa ni kiasi gani kwa ndoo. Pia kama inawezekana; anipe namba; nahitaji kuanza biashara hiyo.
Asanteni.
Hilo gunia Lina ndoo ngapiBei ya jana bukoba mjini mwaloni ilikuwa 140,000 kwa gunia lenye wastani wa kilo 40 hadi 45. Kama uko serious nipm
Kilo moja ukiwauza 10,000 wanakulipa freshi atleast kwa Dar hapa.Bei ya jana bukoba mjini mwaloni ilikuwa 140,000 kwa gunia lenye wastani wa kilo 40 hadi 45. Kama uko serious nipm
Dagaa wa Bukoba ndio hao hao wa Mwanza. Walifahamika zaidi kwa jina la dagaa wa Mwanza kwasababu zamani soko la dagaa wote wa ziwa Victoria lilikuwepo Mwanza pekee, wauzaji wa bukoba pia walikuwa wanapeleka Mwanza.Wadau; kama kuna mtu yuko Bukoba; naomba aniambie kuhusu bei ya dagaa ni kiasi gani kwa ndoo. Pia kama inawezekana; anipe namba; nahitaji kuanza biashara hiyo.
Asanteni.
Nitashukuru sana kaka.Kuna mdau anafanya hiyo kitu akirudi muda si mrefu nakuunganisha nae
Heshima kwako Mkuu, upatapo muda tafadhali naomba msaada wa mafekeche ya address zote za viwanda vya chakula cha kuku huko Kenya. Ubarikiwe sanaHa ha ha,,huyo saa hii atakuwa kishastaafu bana,,we sema nikufanyie mafekeche nikutafutie adress zote za viwanda vya chakula cha kuku huko kenya,ila inahitaji nipate mda kidogo..
https://www.kenyamarkets.org/wp-con...s-Millers-Location-and-Addresses-in-Kenya.pdfHeshima kwako Mkuu, upatapo muda tafadhali naomba msaada wa mafekeche ya address zote za viwanda vya chakula cha kuku huko Kenya. Ubarikiwe sana
Dagaa wa Bukoba ndio hao hao wa Mwanza. Walifahamika zaidi kwa jina la dagaa wa Mwanza kwasababu zamani soko la dagaa wote wa ziwa Victoria lilikuwepo Mwanza pekee, wauzaji wa bukoba pia walikuwa wanapeleka Mwanza .
So muuzaji yoyote kutoka mwanza au bukoba anaweza akakusaidia. Wangari Maathai
Ahsante sana Mkubwa, ubarikiwe sana.
Labda unayosema ni kweli siwezi kukupinga. Mimi nafanya biashara ya dagaa wa mwanza waliokaangwa hawana mchanga wanatafunwa bila tatizo.Siyo kweli ndugu, kuna tofauti kubwa sana kati ya dagaa wa bukoba na dagaa wa mwanza. Kabla hatujaenda mbali niseme kuwa wote ni dagaa maana wote wanavuliwa sehemu moja. Ila sasa mteja anayeenda kununua dagaa Mwanza na atakaye nunua dagaa Bukoba watapata vitu viwili tofauti. Dagaa wa Bukoba kwa kiasi ni Weupe na wamesafishwa vizuri, wanene kiasi( sijajua kwa nini)lakini sifa kuu zaidi hawana mchanga kabisa. Unaweza kuwatafuna hata bila kupikwa.
Dagaa wa Mwanza wanarangi ya kuchakaa kidogo (nahisi kwa sababu ya maandalizi) wembamba kiasi(sijui kwanini) lakini asilimia kubwa wanamchanga japo si wote, mara nyingi mlaji hulazimika kuwakata vichwa na kuwaosha kwa maji ya moto( nahisi ni kwa sababu yamaandalizi duni baada ya kuvuliwa ndo husababisha michanga). Naomba kukoselewa ili nijifunze zaidi. Dagaa wa Bukoba kwa walaji ni bora kuliko baadhi ya dagaa ambao hutolewa Mwanza.
Kwa utofauti wa maumbile hapo sijui. Swali la kujiuliza, Dagaa wanakula mchanga? Kama sio basi mchanga unatoka wapi? Hapo tutapata jibu la maandalizi. Hata rangi nahisi nayo ni maandaliziSiyo kweli ndugu, kuna tofauti kubwa sana kati ya dagaa wa bukoba na dagaa wa mwanza. Kabla hatujaenda mbali niseme kuwa wote ni dagaa maana wote wanavuliwa sehemu moja. Ila sasa mteja anayeenda kununua dagaa Mwanza na atakaye nunua dagaa Bukoba watapata vitu viwili tofauti. Dagaa wa Bukoba kwa kiasi ni Weupe na wamesafishwa vizuri, wanene kiasi( sijajua kwa nini)lakini sifa kuu zaidi hawana mchanga kabisa. Unaweza kuwatafuna hata bila kupikwa.
Dagaa wa Mwanza wanarangi ya kuchakaa kidogo (nahisi kwa sababu ya maandalizi) wembamba kiasi(sijui kwanini) lakini asilimia kubwa wanamchanga japo si wote, mara nyingi mlaji hulazimika kuwakata vichwa na kuwaosha kwa maji ya moto( nahisi ni kwa sababu yamaandalizi duni baada ya kuvuliwa ndo husababisha michanga). Naomba kukoselewa ili nijifunze zaidi. Dagaa wa Bukoba kwa walaji ni bora kuliko baadhi ya dagaa ambao hutolewa Mwanza.
Mimi nafanya hiyo biashara ya dagaa wa bukobaWadau; kama kuna mtu yuko Bukoba; naomba aniambie kuhusu bei ya dagaa ni kiasi gani kwa ndoo. Pia kama inawezekana; anipe namba; nahitaji kuanza biashara hiyo.
Asanteni.
Uwa unaenda kuchukulia Apo ivi kirumba mzigoYello Masai Mura Hii Business unaweza kununua kutoka Musoma - soko la Musoma linaitwa Mwigobero ukaenda kuuza Dar , Mimi mi Mhitimu WA Chuo kikuu cha Mtakatifu Augostino - Mwanza Campus lakini kwa sasa nafanya kazi ya Kusimamia na kuhakiki upimaji WA Madumu ya Dagaa , mzee Wang Mimi ndo Biashara yake na Kaka angu ananunua mpaka Tani 300 Za Dagaa anapeleka Dar kwa Falcon - Tegeta , kwa Matinde kitunda , Kibaha kwa Mama Mkuza pale Mkuza Chicks Na masoko mengineyo hii Business inahitaji Sometimes Huge amounts of money Ndo hata profit inakua maximized ILA hata wenye mitaji midogo midogo wapo na wanafanya na wanapata faida kulinga na mitaji Yao , kumbka mungu Baba ndye mtoaji WA Riziki zote.
Pia sio lazima Tu utoe Musoma PIA unaweza kutoa sehemu nyingine kama visiwani ILA kwa upande WA Musoma na Kirumba mwaloni Mimi ndo mwenyeji zaidi