Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

Kusafiri kuja mwanza kwangu ni vigumu, huwezi kuniunganisha na mtu huko nikapata gharama za mchakato mzima was gunia Hadi kufika hapa dar?
 
Mkuu, naomba kufahamu bei ya gunia la dagaa wakavu wasio na mchanga kutoka mwanza au bukoba. Bei ya jumla..nataka kuleta Arusha
 
Gunia ngapi mkuu? nikakuulizie pale soko la Mwaloni kuna dagaa wakutosha huwa napita tu naziona
 
Ningefahamu kwanza bei yake ili nione kama nitaweza, pia usafiri kutoka mwanza hadi arusha ningependa kufahamu inakuaje. Ni Jambo la kujipanga nikishafahamu gharama
 
Nenda mwaloni pale mwanza mtafute mtu anaitwa jamal mweleze kuna kaka ulikua unamsafirishia dagaa kwenda Congo , alikua anafikia G&G , huyo atakueleza jinsi ya kusafirisha mzigo
 
Na usinunue mwaloni pale wewe ulizia gozba ni wapi panda meli nenda hadi huko nunua then utume kwa mtu wako huyo lakini mteja wako asiwe wa mkopo na usiwaamini watu kizembe kwenye hiyo biashara
 
Nenda mwaloni pale mwanza mtafute mtu anaitwa jamal mweleze kuna kaka ulikua unamsafirishia dagaa kwenda Congo , alikua anafikia G&G , huyo atakueleza jinsi ya kusafirisha mzigo
Asante mkuu, ila nipo Arusha. Nikipata nafasi ya kwenda Mwanza nitafanya hivyo. Thanks.
 
Kusafiri kuja mwanza kwangu ni vigumu, huwezi kuniunganisha na mtu huko nikapata gharama za mchakato mzima was gunia Hadi kufika hapa dar?
Ninauza dagaa wazuri wa bukoba, hawana mchanga kabisa, kilo 1 nauza elfu 5, ukihitaji tuwasiliane PM

NIPO DAR
 
Ningefahamu kwanza bei yake ili nione kama nitaweza, pia usafiri kutoka mwanza hadi arusha ningependa kufahamu inakuaje. Ni Jambo la kujipanga nikishafahamu gharama
Kama utahitaji mkuu tuwasiliane nikutumie ata kwa basi, ninao wazuri wa bukoba hawana mchanga kabisa na stock ipo ya kutosha
 
Mkuu, naomba kufahamu bei ya gunia la dagaa wakavu wasio na mchanga kutoka mwanza au bukoba. Bei ya jumla..nataka kuleta Arusha
Kutoka Mwanza kitu kama 140k -170k + usafiri Unaweza kupata, Bei inaweza kuzidi hapo au kupungua kulingana na ubora wa dagaa
 
Kusafiri kuja mwanza kwangu ni vigumu, huwezi kuniunganisha na mtu huko nikapata gharama za mchakato mzima was gunia Hadi kufika hapa dar?
Sijui kama ulipata msaada Mkuu, kama bado ni Dm nikupe namba za mtu anaeweza kuwa na maelezo mazuri zaid au me mwenyewe ntakupea jibu kama litakuwa ndani ya uwezo wangu
 
Heshima kwenu wakuu
●Naomba kujuzwa bei ya jumla ya gunia la dagaa
●Debe la dagaa lina kilo ngapi?
●Bei ya kusafirisha gunia 1 hadi DSM
 
Mm natafuta mtu wa kufanya naye biashara ya dagaa kwa sasa niko mwanza kikaz ila natak nijikite kwenye biashara kwa maeneo ya arusha 0674477835
 
Mimi niko Dar natamani kufanya hiyo biashara kama nitapata connection
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…