mangare 1st
Member
- Jul 16, 2017
- 30
- 40
Kusafiri kuja mwanza kwangu ni vigumu, huwezi kuniunganisha na mtu huko nikapata gharama za mchakato mzima was gunia Hadi kufika hapa dar?Kwa Dar upande wa masoko sijui kupo vipi ila upande wa ziwani unaweza kuwa na mtu ama wew mwenyew; unanunua dagaa wabichi kwenye mtumbwi, unalipia sehemu za kuanika, unanunua mafuta, kuni, n.k dagaa zikikauka kuna wakaangaj unawalipa wanakukaangia, mna pack kwenye viroba mnalipia ushuru na kibali kama hutaki usumbufu laikni, then unasafirisha.