Mkuu Samahani hyo DEKALINK iko situated wap?Jamani biashara hyo iko poaa mi namsaidia my father kampuni DEKALINK lakini kabla hujaanza tafta rasilimal watu wakuchukua iko vizuri sio mbaya maana watu wanapenda.
Mkuu nakishukuru sana. Nitakupm tuwasiliane zaidi.Yello Masai Mura Hii Business unaweza kununua kutoka Musoma - soko la Musoma linaitwa Mwigobero ukaenda kuuza Dar , Mimi mi Mhitimu WA Chuo kikuu cha Mtakatifu Augostino - Mwanza Campus lakini kwa sasa nafanya kazi ya Kusimamia na kuhakiki upimaji WA Madumu ya Dagaa , mzee Wang Mimi ndo Biashara yake na Kaka angu ananunua mpaka Tani 300 Za Dagaa anapeleka Dar kwa Falcon - Tegeta , kwa Matinde kitunda , Kibaha kwa Mama Mkuza pale Mkuza Chicks Na masoko mengineyo hii Business inahitaji Sometimes Huge amounts of money Ndo hata profit inakua maximized ILA hata wenye mitaji midogo midogo wapo na wanafanya na wanapata faida kulinga na mitaji Yao , kumbka mungu Baba ndye mtoaji WA Riziki zote.
Pia sio lazima Tu utoe Musoma PIA unaweza kutoa sehemu nyingine kama visiwani ILA kwa upande WA Musoma na Kirumba mwaloni Mimi ndo mwenyeji zaidi
Sawa mkuu. Nikishajipanga nitakuconsultJamani biashara hyo iko poaa mi namsaidia my father kampuni DEKALINK lakini kabla hujaanza tafta rasilimal watu wakuchukua iko vizuri sio mbaya maana watu wanapenda.
Karibu Sana TataSawa mkuu. Nikishajipanga nitakuconsult
Huyo jamaa yako sio J4 kweli??HABARI ZENU WAKUU
Ni Muda WA Miezi Mitano sasa Toka nihitimu Chuo pale Chuo kikuu cha Mtakatifu Agostino (Mwanza) Tawi kuu. Namshukru Mungu nkapata Degree yangu ya Kwanza ya Falsafa na Elimu , lakini kwa kipindi chote hicho mpaka Sasa hivi nafanya Temporary work kwa Rafiki yang kipenzi (Boss Fulani) mmiliki WA Magari kadhaa ya mizigo na Mnunuzi WA Tani za Dagaa kutoka mikoa ya Mara na Mwanza.
Kiukweli Nje ya Business ya Magari ya Mizigo ( Semi - Trailers) especially Scania R 420 , 114 n.k Jamaa hyu Business ya Dagaa inamlipa Sana kuliko Magari na PIA sisi kama wasimamizi wake Maisha yanaenda japo kazi Ni Ngumu ILA masilahi yapo .
Biashara hii Dagaa hufanywa kwa kuchukua Dagaa kutoka huku na kupelekwa Dar , Congo,Tunduma, Arusha na kwingineko Na inalipa Sana ukizingatia yafuatayo, Mtaji,Soko,Muda WA kusimamia na juhudi na watu (Social capital), n.k
Mimi kesho na kesho na kesho ntaka Nijipange na nianze Mdogo mdogo
Karibuni Musoma karibuni Kwenye Dagaa.
Niliwahi kufanya
, ni pm mkuu. Tunaweza kushauriana.[/QUOTE
Nipigie +225767258286, +255789258286,+225673258086
Nkisha toka hapa job ntatoa mchanganuo mzuri kuanzia mtaji , upatikanaji, uandaaji mxigo mpaka Kusafirisha mpaka BeiTupe mchanganue basi ili nasi tujaribu fursa
Mkuu tunasubiri huo mchanganuo.Nkisha toka hapa job ntatoa mchanganuo mzuri kuanzia mtaji , upatikanaji, uandaaji mxigo mpaka Kusafirisha mpaka Bei
Usisahau na masokoNkisha toka hapa job ntatoa mchanganuo mzuri kuanzia mtaji , upatikanaji, uandaaji mxigo mpaka Kusafirisha mpaka Bei
Soma tena juu Nimeedit pale na kutoa Mchanganuo.Usisahau na masoko
Vipi uhakika wa upatikanaji wa hiyo dagaa hapo Musoma?HABARI ZENU WAKUU
Ni Muda WA Miezi Mitano sasa Toka nihitimu Chuo pale Chuo kikuu cha Mtakatifu Agostino (Mwanza) Tawi kuu. Namshukru Mungu nkapata Degree yangu ya Kwanza ya Falsafa na Elimu , lakini kwa kipindi chote hicho mpaka Sasa hivi nafanya Temporary work kwa Rafiki yang kipenzi (Boss Fulani) mmiliki WA Magari kadhaa ya mizigo na Mnunuzi WA Tani za Dagaa kutoka mikoa ya Mara na Mwanza.
Kiukweli Nje ya Business ya Magari ya Mizigo ( Semi - Trailers) especially Scania R 420 , 114 n.k Jamaa hyu Business ya Dagaa inamlipa Sana kuliko Magari na PIA sisi kama wasimamizi wake Maisha yanaenda japo kazi Ni Ngumu ILA masilahi yapo .
Biashara hii Dagaa hufanywa kwa kuchukua Dagaa kutoka huku na kupelekwa Dar , Congo,Tunduma, Arusha na kwingineko Na inalipa Sana ukizingatia yafuatayo, Mtaji,Soko,Muda WA kusimamia na juhudi na watu (Social capital), n.k
Mimi kesho na kesho na kesho ntaka Nijipange na nianze Mdogo mdogo
Karibuni Musoma karibuni Kwenye Dagaa. Tafadhali Mchanganuo kama ifuatavo ; Dagaa inayonunulia Ni Dagaa chafu (Chakula ya kuku) na Dagaa safi Chakula ya Binadam
1. Chakula ya kuku Inauzwa kwa Dumu Yan ndoo ya Litre 20 , Mara nyingi dagaa hii ya Chakula ya kuku huuzwa kwa Tsh. Elfu 10,000/= mpaka Elfu sita na Mia Tano kwa Kama Dagaa imepatikana nyingi Sana bei yake hususha Automatically Kwan kwenye Masoko Hufurika Sana.
Uandaaji Chakula ya kuku huandaliwa kwa kuwekwa kwenye Gunia kubwa ambapo Kila gunia hubeba Dumu 21 na @ Gunia likipimwa hutoa kilo kuanzia 120- 95.
Usafiri Baada ya kuandaliwa na kuwa tyr hupakiwa kwenye Magari ya mizigo na kupelekwa Kwenye Masoko kama vile Dar, Congo,Tunduma, Arusha n.k . bei ya Usafiri Inategemea Mzigo Wako na PIA Maelewano na Mwenye Gari lakini kama Semi- Trailer lenye Contena Kama vile Scania R420 Mara nyingi hubeba Gunia 270 na hapo hutegemea upakiaji WA Makuli husika Na bei hapa Kwa Gari huwa Ni one million and point six 16000,000/=.
Bei kiwandani dagaa hizi huuzwa kwa kilo ambapo Kilo Ni 3500- 2500 Inategemea Upatikanaji WA Bidhaa na Kiwanda husika.
Kwa hyo gunia Lenye Dumu 21, Na lenye Thamani ya Tsh. 210000= na Gharama ya 25000 Uaandaji usafiri , ushuru na Mengineyo na lenye kilo 120 Ambapo @ kilo 3500- 2500 .
Hapo ukipiga Hesabu utakuta kwamba Ni
120*3500= 420000
420000- 235000= 185000
Au 95*2500= 237500 Kama Dagaa umeinunua kwa bei nzuri na umebana Mapato saswa Sawa. Masoko kwa Dar ndo habari yake Kwan ndo Viwanda vingi vya Chakula ya kuku hupatikana Hasa kwa Falcon, Kitunda kwa Matinde few to mention just Na hapa kwenye vizuri kufatilia mwenyewe kuepusha madalali na matapeli WA mujini , Nakaribisha Kitu Maswali, Matusi,Kejeli na Mengineyo Mchana Mwema
Mkuu nimeku pm kuna maswala mawili matatu naomba kujua kutoka kwako?Niliwahi kufanya
, ni pm mkuu. Tunaweza kushauriana.
Vipi uhakika wa upatikanaji wa hiyo dagaa hapo Musoma?
Ni maeneo gani hizi dagaa za mifugo zinapatikana kwa wingi hapo Musoma?
Nikihitaji semi moja ya tani 29. mathalani itanichukua siku ngapi kuikusanya?
Je naweza kuzihifadhi dagaa kwa muda wa siku ngapi bila kuharibika kabla ya kupeleka kuuza kiwandani,hasa ukizingatia hali ya joto la hapa Dar?
Na je zipi ni changamoto kubwa katika biashara hii?
Naomba majibu kwa manufaa ya wengi hapa Jf.