Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

Lesseni Tsh. 48000/= na Ushuru Lazima ulipie Kila Gunia lililo teari kusafirishwa kabla ya kulitioa sehemu husika.
Kiongozi Asante kwa maelezo yaliyonyooka....Nataka kujua kuhusu Leseni natakiwa kukata nikiwa huko au nakuja nayo ninakofanyia Bishara
 
Huko Huko
Asante kaka....Nina mawasiliano yako.....kuna dogo 1 amemaliza chuo ana kamtaji kake anasaka Fursa nitamshirikisha...ila hebu niambie kwakuwa ww uko pale siku nyingi unajuana mengi kwa MTU mwenye mtaji mdogo anaweza kupata usafiri wa kuchanga na watu wengine?.....
 
Yeah Mtachangia Gari ili kujaza Gari Zima kama vile Fuso ,Tundum n.k Itategemea Gari inahitaji Jumla gunia ngapi ili kujaa . Ondoa shaka kuhusu Transport shida Ni soko Weka mazingira mazuri ya soko kwanza, Kwan suala la mzigo halina Tabu.
 
Asante sana Kiongozi umeeleweka!![emoji122] [emoji122]
 
Kuna mahali umesema hii biashara ni ya Mzee na kaka yako sasa lipi ni lipi
 
Kuna mahali umesema hii biashara ni ya Mzee na kaka yako sasa lipi ni lipi
Samahani Mkuu Kwani Shida Yako nini ?
Hapana sio ya Mzee Wangu wala kaka yangu isipokua anaeifanya Ni Rafiki yang kipenzi kwenye Company yake ndiko nilikokua nafanya na kupata Ujuzi wote kuhusu Biashara za Ziwani.
 
Kule ulikuwa unadanganya kwanini?
 
Kule ulikuwa unadanganya kwanini?
Ndugu yangu kata maneno ya hicho kipande Afu kitengenezee Uzi humu humu Jf au kilete hapa Acha utoto basi kama nimedanganya wee kimekuuma nini ?
Kupitia huu mpaka sasa hv Kuna Watu nshawaunganisha wameshaanza Biashara .
 
Uongo unapunguza uaminifu ila kama hauna madhara, vizur
 
Rejea kwenye kichwa cha habari hapo juu.
Kwa yeyote anaye hitaji mzigo huo anitaarifu ili aweze kujipatia Dagaa watamu na waliokaangwa , bei ni poa kabisa wote mnakaribishwa
 
Jamani naombeni ushauri wenu. Binafsi napenda sana nianze biashara ya Dagaa wabichi niwakaange na kuwatafutia soko. Ila sijajua faida na hasara yake ipoje. Na ni wapi wanapendwa sana ila pia bei yake sokoni ipoje na kadhalika. Napenda sana nianze hiyo biashara. Naombeni ushauri wenu nianzeje wandugu.
 
Naomba nikuulize hapo ulipo dagaa zipo? if yes, basi nakuhakikishia kuwa hiyo biashara ina lipa sana cha muhimu uwe makini kwenye packing
 
Ni kweli mkuu Mimi nipo Mwanza ila nilifikiria kuwa kaanga na kuwapeleka mbeya. Ila sijajua bei yake ipoje sokoni hasa mbeya ninapo hitaji nipeleke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…