Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

Nimerudi Online japo kibishi najibu Maswali yote hapa hapa na hata kwa kunipigia karibuni.
 
makanya nina million moja niko kahama naomba unipe maelekezo jinsi ya kuigawanya kuchukua mzigo usafir na soko manake nmechoka kutumikia ofice za watu
 
makanya nina million moja niko kahama naomba unipe maelekezo jinsi ya kuigawanya kuchukua mzigo usafir na soko manake nmechoka kutumikia ofice za watu
Mkubwa milioni kutoboa kwake kugumu sana kama unataka kupeleka mikoa ya mbali Kwani itanunua mzigo tu na kwenye suala la usafiri utakwama labda uwe unatoa porini kuleta mjini (sokoni). Itakulipa.
 
po
Mkubwa milioni kutoboa kwake kugumu sana kama unataka kupeleka mikoa ya mbali Kwani itanunua mzigo tu na kwenye suala la usafiri utakwama labda uwe unatoa porini kuleta mjini (sokoni). Itakulipa.
pow pow nmechukua namb zako ntakuchek nkifika musoma uko polin ndio ntazama mpaka ukue
 
Kwa kweli dagaa wanalipa sana, ila Serikali ingelitujengea Reli nadhani ingelitusaidia sana hasa ktk kukuza Uchumi wa Musoma
 
Mi Niko musoma nilikuwa nawaza sana biashara ya dagaa ila Hawa wa kukangwa VP soko lake likoje kwa kusafirsha mikoa mingine naomba unisaidie kwa maelezo bwana makanya
 
Mi Niko musoma nilikuwa nawaza sana biashara ya dagaa ila Hawa wa kukangwa VP soko lake likoje kwa kusafirsha mikoa mingine naomba unisaidie kwa maelezo bwana makanya
Piga namba zangu pale juu ntakupa Maelekezo.
Karibu sana.
 
Kwanini dagaa wa kukaanga ni bora zaidi kibiashara ukilinganisha na dagaa wengine au Samaki.

Kwanza ni bei rahisi
Wanalika hata bila viungo vingine
Hawahitaji maandalizi ukitaka kuwaunga
Ni watamu sanaa (wenye chumvi)
Hawaaribiki kirahisi.
Ni kati ya bidhaa ngeni hasa maeneo yasiyo na ziwa. (wengi wanapenda vyakula vigeni)
Mfanyabiashara utaweza kuwapima katika vipimo tofauti kuendana na soko Lako.

Habari zenu wadau

Pata dagaa safi wakubwa waliokaangwa katika hali ya usafi kabisa.

Dagaa hawa wametiwa chumvi na tunaanza kupima kuanzia debe 5 na kuendelea.

Dagaa wanapatikana Mwanza na utatumiwa mahali popote Tanzania kwa usafiri wa uhakika.

Bei kwa wengi tunauza Tsh 35,000 kwa debe moja na kama utafunga kwenye small containers unaweza mpaka kujipatia 100,000 Tsh

Mawasiliano ni 0622193871 masaa 24/7 press order kubwa mapema ili kupata mzigo kwa wakati.

Nyote mnakaribishwa jumla na rejareja pesa nje-nje.
 
DSC_0054.jpg
DSC_0053.jpg
wafanyabiashara wengi hupenda kuzifunga kwenye hizi containers lakini pia kuepusha gharama unaweza kuzifunga kwenye vile vifuko vya plastic vyeupe vilaini kwa ujazo kuanzia 1000 Tsh na kuendelea.

Karibuni sana.
 
Back
Top Bottom