Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri kwanza serikali ihamie ndio utapga hela maana dom hawana ziwa waleMimi niko mwanza lakin nataka kuanza biashara ya dagaa niwe natoa mwanza napeleka dodoma wenye kujua soko la dagaa dodoma wanijuze
Selikali inahamia lin ngosha maana mimi nataka kuaza biashara mwez huuSubiri kwanza serikali ihamie ndio utapga hela maana dom hawana ziwa wale
At least mwezi february watakua wamekuwa wengiSelikali inahamia lin ngosha maana mimi nataka kuaza biashara mwez huu
Kwan walangi wana nini mkuuUnakuja kupambana na warangi sio,karibu sana aisee sokoni ila tafta wasokoni kwanza wakupe muongozo kabla hujaleta huo mzigo jamaangu.
ndo mkoa wao kibiasharaKwan walangi wana nini mkuu
Asante kwa ushauri. Bei zao sokoni zikoje Saivi!Wote ni wazuri sema maandalizi ndo yanatofautiana wengine wanaanikwa kwenye michanga wengine kwenye nyasi wengine kwenye mazuria
wa bukoba wako juu kwa bei ya kuwanunua na kuwauza maana hawana mchanga,Musoma pia wanafata mwisho wa mwanza maana wana mchanga sana.Bei pia hutegemea na soko la sehemu husika...watu wa pale wanapenda dagaa wa wapi haswa...Asante kwa ushauri. Bei zao sokoni zikoje Saivi!
Saws mkuu ntakucheki pia kwa ushauli zaidi.Nkisha toka hapa job ntatoa mchanganuo mzuri kuanzia mtaji , upatikanaji, uandaaji mxigo mpaka Kusafirisha mpaka Bei