Yello Masai Mura Hii Business unaweza kununua kutoka Musoma - soko la Musoma linaitwa Mwigobero ukaenda kuuza Dar , Mimi mi Mhitimu WA Chuo kikuu cha Mtakatifu Augostino - Mwanza Campus lakini kwa sasa nafanya kazi ya Kusimamia na kuhakiki upimaji WA Madumu ya Dagaa , mzee Wang Mimi ndo Biashara yake na Kaka angu ananunua mpaka Tani 300 Za Dagaa anapeleka Dar kwa Falcon - Tegeta , kwa Matinde kitunda , Kibaha kwa Mama Mkuza pale Mkuza Chicks Na masoko mengineyo hii Business inahitaji Sometimes Huge amounts of money Ndo hata profit inakua maximized ILA hata wenye mitaji midogo midogo wapo na wanafanya na wanapata faida kulinga na mitaji Yao , kumbka mungu Baba ndye mtoaji WA Riziki zote.
Pia sio lazima Tu utoe Musoma PIA unaweza kutoa sehemu nyingine kama visiwani ILA kwa upande WA Musoma na Kirumba mwaloni Mimi ndo mwenyeji zaidi