Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

Habri zenu wakuu. Natamani Sana kufanya biashara ya dagaa mwanza lakin sijui wap pakuanzia kwakua sina mwenyeji katika biashara hii especially watu wa mwanza. Kama kuna Mtu anafanya hii biashara tafadhali tuwasiliane nahitaji nipate Mzigo nipeleke mikoa ya kusin ingawa mwenyew naishi Dsm....0768597186
Kuwa makini majambaka yasikubake tu
 
Kuwa makini pia kuna matapeli wengi nowadays hususani masuala ya kumtumia pesa mtu usiyemfahamu
 
Mimi nafanya bussiness hiyo kwa zaidi ya miaka minne sasa, offer nakusafirishia free mpaka ubungo.
Nauza kiasi chochote utakacho, na nina aina tano za dagaa zote kutoka mwanza, sample zipo ukitaka.
Karibu PM
Kwa ambae yuko tanga na afanya biashara ya dagaa namuomba tuwasiliane
 
Tatizo biashara za Tanzania za kuigana mtu akiona mwenzake anauza dagaa na yeye atauza
Ubaya mwingine haongezi la maana
Dagaa wenyewe wachafu
Mafuta wanayotumia machafuuuuu
 
Mimi nafanya bussiness hiyo kwa zaidi ya miaka minne sasa, offer nakusafirishia free mpaka ubungo.
Nauza kiasi chochote utakacho, na nina aina tano za dagaa zote kutoka mwanza, sample zipo ukitaka.
Karibu PM
Mkuu unauza dagaa wa aina gani na gharama zako zikoje? Pia nimeona kwenye thread unasema unauza dagaa aina tano ni zipi hizo
 
Habari wana jf nina mtaji wa Tsh300000 nipo mwanza visiwani nataka kufanya biashara ya dagaa kuwatoa visiwani kupeleka mikoani target (singida) na kuwauza ila sijui taratibu za kusafirisha dagaa changamoto za biashara hii wenye huelewa na hii biashara naomba mnisaidie
 
Habari wana jf nina mtaji wa Tsh300000 nipo mwanza visiwani nataka kufanya biashara ya dagaa kuwatoa visiwani kupeleka mikoani target (singida) na kuwauza ila sijui taratibu za kusafirisha dagaa changamoto za biashara hii wenye huelewa na hii biashara naomba mnisaidie
mkuu nipo arusha nina wazo la kuagiza dagaa kutoka hiko kuleta huku kwa ajili ya kuuza namba yangu hii 0652130833 tunawezakuwasiliana tuyajenge
 
Nashukuru sana mkuu wangu kwa msaada wako na mawazo yako mazuri na ya maana, yeah nitakucheck tuongee vizuri zaidi kaka wala hamna tatizo kabisaa.
Biashara ya dagaa inalipa sana,na ni ngumu kupata hasara.
Just do it utafanikiwa.
Just do it
 
JF natumaini nitapata mchanganua wa biashara hii, nipo mbioni kuijaribu mimi nipo Mbeya nataka nitoe Mwanza to Mbeya. naweza pata utaratibu wake na je nilazima niwe na kibali, pia changamoto zike ni zipi. pia napenda nikutane na muuzaji si dalali. kwa anayemjua muuzaji kwa mwanza anipe namba yake. tufanye kazi.
Mkuu uliweza fanikisha mchakato wa hii biashara...!? Me nipo mbeya nilitaka tubadirishane uzoefu kama ilifanikiwa kuingia kwa hii kazi
 
Yello Masai Mura Hii Business unaweza kununua kutoka Musoma - soko la Musoma linaitwa Mwigobero ukaenda kuuza Dar , Mimi mi Mhitimu WA Chuo kikuu cha Mtakatifu Augostino - Mwanza Campus lakini kwa sasa nafanya kazi ya Kusimamia na kuhakiki upimaji WA Madumu ya Dagaa , mzee Wang Mimi ndo Biashara yake na Kaka angu ananunua mpaka Tani 300 Za Dagaa anapeleka Dar kwa Falcon - Tegeta , kwa Matinde kitunda , Kibaha kwa Mama Mkuza pale Mkuza Chicks Na masoko mengineyo hii Business inahitaji Sometimes Huge amounts of money Ndo hata profit inakua maximized ILA hata wenye mitaji midogo midogo wapo na wanafanya na wanapata faida kulinga na mitaji Yao , kumbka mungu Baba ndye mtoaji WA Riziki zote.
Pia sio lazima Tu utoe Musoma PIA unaweza kutoa sehemu nyingine kama visiwani ILA kwa upande WA Musoma na Kirumba mwaloni Mimi ndo mwenyeji zaidi
Mkuu naomba uni pm tubadilishane mawasiliano ili nipate kuchimba zaidi hii nondo
 
Poleni na majukumu wadau,me naomba kwa yeyote mwenye uzoefu wa biashara ya dagaa (wakavu) wa mwanza kupeleka dar,naomba kujua gharama za kununulia kwa wavuvi,gharama za kuwakausha pamoja na usafirishaji,soko lake na mtaji wa kuanzia na yote yanayohusu biashara hii.
Natangulza shukrani



================================================

MAJIBU KUHUSU BIASHARA
============================================
Asante kwa bandiko mkuu.
 
Back
Top Bottom