Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante wapendwa kwa ushauri, naamini ushauri mzuri ni ngazi pia ya kuyaona mafanikio.Komaa dogo Mwenyezi Mungu ni mwaminifu utatoka kimaisha
Hata hivyo nakushauri tanua wigo wa biashara yako kwa wadau wengine mikoani ambako bidhaa hiyo ni adimu
Mfano unaweza kumpata mtu ambaye atakuwa anasambaza mzigo kwa Mama lishe walioko maeneo mbalimbali mikoani
Unatuma mzigo akausambazia kwa bei ambayo na yeye ataingiza kipato
Pia ili dagaa wako watoke haraka lazima uangalie ubora wa bidhaa yako
Dagaa wasafi wa kukausha na jua na dagaa wasafi wa kukaanga
Wote wanalipa
Kila la kheri kwenye biashara yako
AMENNaamini utapata mawazo/michango mizuri ya kukujenga.
Nakutakia kila la kheri mpambanaji mwenzangu.
Ahsante mkuu.Jaribu kwenda ziwani ukaonane na wafanyabiashara wakupe A B C za kuanza huku ukifanya utafiti kimyakimya..
Kila la heri
PoaAhsante mkuu.
Tupo pamoja
hawa hawana mchanga....Wana mchanga sana
Unauza dagaa??Mkuu nakucheki pm tufanye bussiness