Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

Khasante kaka usinichoke nikiwa na swali lolote nitakuuliza samani kwa usumbufu
 
safi sana mdau kwa mchanganuo wako kama vijana wote wakitanzania tukiacha unafiki na ubinafsi basi tutafika mbali sana thanks alot brother
 
Am so interested kaka yangu please nikiwa tayari tutawasiliana aisehh!! Nimeshachukua tayari namba zako mkuu!! Ubarikiwe kwa kuleta uzi wenye akili aisehh!
 
Back
Top Bottom