Abbitto
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 547
- 747
Kumbuka ndo anaanza biasharaUsiogope fanya reseach na apo dar... Ujue ni watu gani unawatarget na biashara yako utaiweka wapi location!!! Then business round hii inahitaji ubunifu mkuu, tumia fursa za kwenye mtandao kujitangaza" then anza biashara yako kikubwa uwe na office mkuu na ili utoboe make sure unakuwa msafi kuanzia wewe mwenyewe... Na umu Jamii Forums tayari kuna watu wapo dar watakuungisha.... Usiogope na biashara haijaribiwi bro ukiamua kufanya biashara usikubali kufeli wekeza pia na akili yako kwenye iyo biashara kwaku onyesha ubunifu wako na kujitofautisha na wengine maana wapo wanaouza kabla yako!!! Then fanya biashara.... Sina hakika kama wote humu wanafanya biashara so hata kukiwa na majibu yakukukatisha tamaa usijali, jiamini na amini zaidi wazo lako cuz wewe ndo mtendaji, hongera sana chapa kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Biashara yenyewe dagaa wa kukaanga
Asifungue ofisi kwanza mpaka apate mzunguko mzuri wa biashara asijepoteza hela ya kodi bure
Sent using Jamii Forums mobile app