mkuu kisiwa cha GOZIBA ushafika? Nimeshauriwa nitulie mpaka mvua zikate kwanza kwasababu sasa hivi bei ya dagaa ipo juu itanisumbua kupata mteja sokoni hii ni kweli mkuu?
Mkuu kwa mfano ukanunua dagaa kisha ukahifadhi mpaka wakati ambao dagaa wanaadimika kutokana na changamoto ya hali ya hewa si unaweza kuuza kwa bei nzuri zaidi?
Mvua za kule hazieleweki.. Ni Kama hazina msimu tu. Panga ratiba yako Vizuri bila kuwaza Wala kuzingatia mvua coz ni suala ambalo lipo nje ya control yako.Shukrani mkuu, vipi upatikanaji wa dagaa kwa sasa na bei ikoje huko? vp nijilipue niende au niwait mvua zikate.
Dagaa haitunziki kwa muda mrefu,, ikiwa hivyo inapoteza ubora na kuwa nyekundu.Mkuu kwa mfano ukanunua dagaa kisha ukahifadhi mpaka wakati ambao dagaa wanaadimika kutokana na changamoto ya hali ya hewa si unaweza kuuza kwa bei nzuri zaidi?
Sahihi kabisa,, aingie field tu. Hayo ya mvua ni ngumu kuya control.Mvua za kule hazieleweki.. Ni Kama hazina msimu tu. Panga ratiba yako Vizuri bila kuwaza Wala kuzingatia mvua coz ni suala ambalo lipo nje ya control yako.
kua makini usijaribu kwenda eneo la kukusanyia mzigo' huku bado haujafanya taratibu za vibali, ushuru na leseni ya biashara ' utakuja kujuta mimi hadi leo nalia na mwenyeji wangu' nilienda kimoyomoyo"Nina mtaji wa kama 1m nimefikiria nianzishe biashara hasa ya dagaa hasa za nwanza zisizo na mchanga
Nahitaji msaada wenu hasa
*Bei ya ndoo na inakuwa kilo ngapi
*Bei ya gunia na linakuwa na kilo ngapi
*Chimbo la kuuzia kwa jumla na rejareja
*n.k hasa kwa wazoefu
Kambi popote
Yah umemshauri vyema mkuu..kabla ya kwenda sehemu ya kukusanya mzigo ahakikishe ameweka mpango vizuri wa leseni ya ku deal na biashara ya Dagaa.kua makini usijaribu kwenda eneo la kukusanyia mzigo' huku bado haujafanya taratibu za vibali, ushuru na leseni ya biashara ' utakuja kujuta mimi hadi leo nalia na mwenyeji wangu' nilienda kimoyomoyo"
ni pmNauli ya kutoka mwanza mpaka kwenye hicho kisiwa bukoba ni kiasi gani
Nataka nikatafute connection kule au nimpeleke mtu awe ananitumia mzigo mi nausambaza