Guys juzi juzi nilikua Zimbabwe napenda ku-share nanyi kwamba kule biashara hii inalipa sana.
Kwa siku hiace (high/super roof) inaingiza 80$ na flat base inaingiza 60$.
Changamkieni.
Asiwadanganye mtu. Wa Zimbabwe ni wabaguzi sana na maisha pale ni magumu sana kisa kidogo tu unafungwa.Mkiingia kichwa kichwa Chikurubi maximum security prison ndio yatakua makazi yenu