Biashara ya dhahabu na madini mengine (Gold and gemstones dealership business in TZ)

Biashara ya dhahabu na madini mengine (Gold and gemstones dealership business in TZ)

Mkuu uzi wako nmeupenda sema Sina uelewa wa hii kazi na ningependa kuifanya mwenyew nna mtaji usozid mill5
Mkuu we huu mtaji wako ni wa kuwalisha wachimbaji wadogo na kuwanunulia maji ya kuoga mwisho wa siku mgawane kinja wakiufikia mwamba wakikosa basi umepata hasara
 
Wadau mimi kuna sehemu nilienda nikakuta kuna watu wamechimba mawe lakini yale mawe ni ya rangi nyeusi ila kikubwa zaidi yanashikana na sumaku .
Je hayo na yenyewe yanaweza kuwa ni aina fulani ya madini ?
Iyo inaitwa Magnetite ni iron ore. Ndio inayotumiwa kwenye extraction of iron kupata pure iron(Fe)
 
THREAD KAMA HIZI COMMENT HUA CHACHE SIJUI KWANIN MI MWENYEWE NATAMANI KUFANYA HIYO BUSSINESS ILA NASIKIA LAZMA UJIGANGE KWA SANGOMA KUNA UKWELIN WAKUU
 
Back
Top Bottom