Mkuu we huu mtaji wako ni wa kuwalisha wachimbaji wadogo na kuwanunulia maji ya kuoga mwisho wa siku mgawane kinja wakiufikia mwamba wakikosa basi umepata hasaraMkuu uzi wako nmeupenda sema Sina uelewa wa hii kazi na ningependa kuifanya mwenyew nna mtaji usozid mill5