Mkuu we huu mtaji wako ni wa kuwalisha wachimbaji wadogo na kuwanunulia maji ya kuoga mwisho wa siku mgawane kinja wakiufikia mwamba wakikosa basi umepata hasara
Wadau mimi kuna sehemu nilienda nikakuta kuna watu wamechimba mawe lakini yale mawe ni ya rangi nyeusi ila kikubwa zaidi yanashikana na sumaku .
Je hayo na yenyewe yanaweza kuwa ni aina fulani ya madini ?