Biashara ya dhahabu na madini mengine (Gold and gemstones dealership business in TZ)

Freddy.Freddy

Senior Member
Joined
May 29, 2015
Posts
105
Reaction score
44
Hamjambo wenzangu!

Mimi ni mgeni kwenye hii forum na nimekuwa nikisoma issues tofauti na kwa kweli Jamii Forum haiwezi kulinganishwa na forum nyingine yoyote kwa sababu ya ubora wake. Nashukuru sana kuwa nimejiunga. Nataraji mmenikaribisha.

Mimi mwenyewe mkaazi wa Mwanza. Hii biashara ya madini kwa kweli iko na potential kubwa sana humu nchini. Niliweza kutembea kule Arusha na nilijionea jinsi Tanzanite ilivyowapa uwezo na ajira watu wengi mno. Kwa kuwa gold ama dhahabu inapatikana sio mbali sana na Mwanza, ningependa wanajamii wa hii forum wanielimishe kidogo. Ninayo mipango ya kujaribu bahati yangu katika kuwa dealer wa dhahabu ili niwe nanunua kutoka kwa wachimbaji na kupeleka jijini kama Nairobi ama Dar es Salaam. Naelewa kuwa katika hii biashara kunao wahuni matapeli na changamoto zipo nyingi pia. Kwa kuchangia katika huu mjadala, nina uhakika kuwa sio mimi tu nitakayeelimika bali ni wanajamii wote wa forum hii. Yafuatayo ni concerns zangu na nitafurahi nikipata majibu:

1. Bei ya dhahabu kutoka kwa wachimbaji kwa gramu moja ni kama shilingi ngapi hivi? Either Kahama ama Geita ama sehemu yoyote ile panapopatikana gold.

2. Ukipeleka mjini Dar ama Mwanza ama sehemu panapouzwa gold unaweza kuuza gold kwa shilingi ngapi kwa gramu moja?

3. Ukinunua gold kutoka kwa wachimbaji huwa purity yake ni ngapi kwa sababu naskia kuwa bei ya gold huwa iko determined na purity yake kuwa ile gold yenye purity ya juu iko na thamani zaidi kuliko yenye purity ya chini.

4. Kwa wale ambao hatujajihusisha na gold hapo awali, ni vipi utaweza kudhibitisha ikiwa ni hii gold ya ukweli ama ni fake? Nilisoma kwingine kuwa ukimwagia gold nitric acid haitayeyuka, ikiyeyuka hiyo ni fake gold. Njia nyingine ipi ya kukuwezesha kujua ubora wa dhahabu?

5. Nani anawajua dealers wa Gold, iwe mjini ama mikoani ambao wanajihusisha na hii bishara na ambao sio walghai? Hatutamind ukiweza kutupa namba zake za simu ama njia yoyote ile ya mawasiliano.

6. Ninayo milioni 4 na ningetaka kujaribu bishara hii ila tu ningependa kwanza kujua all the finer details za hii bishara kabla nianze kuwa dealer pia. Finer details ni kama vile kujua nitakakokuwa nazinunua na nitakakokuwa naziuza, bei ya gold, utathmini wa ubora wa gold

Kama wanajamii wa hii forum tungependa kujua experience ya mtu yeyote ambaye amewahi kujaribu hii bishara na ilivyoenda. Nitawashukuru sana kwa contributions zenu. Ahsanteni.
 
Mkuu ulifanikiwa kuanza biashara ya dhahabu?nitafute kwa namba hii nini jambo la kuongea na wewe 0713724242
 
Mbona hakuna jibu,hata mimi natamani kujua please ila nitajaribu kuipiga hio no hapo juu
 
Mkuu uzi wako nmeupenda sema Sina uelewa wa hii kazi na ningependa kuifanya mwenyew nna mtaji usozid mill5
 
Hii business ina maeneo mengi ya ku engage with, Kwa mtaji wa milioni 5 au chini ya hapo kuwa dealer ni ndogo sana na kuona faida yake ni ngumu hasa ukianza kuangalia muda, usafiri, chakula n.k. Binafsi ninafanya japo sio dealer ila nipo kwenye extraction kabisa.
 
Wadau mimi kuna sehemu nilienda nikakuta kuna watu wamechimba mawe lakini yale mawe ni ya rangi nyeusi ila kikubwa zaidi yanashikana na sumaku .
Je hayo na yenyewe yanaweza kuwa ni aina fulani ya madini ?
 
Niliwahi kuyapata mawe haya maeneo ya songea.hapo yalikuepo mengi sana na bado yapo
 
Wadau mimi kuna sehemu nilienda nikakuta kuna watu wamechimba mawe lakini yale mawe ni ya rangi nyeusi ila kikubwa zaidi yanashikana na sumaku .
Je hayo na yenyewe yanaweza kuwa ni aina fulani ya madini ?
It's hematite...( Black iron)
 
Hii business ina maeneo mengi ya ku engage with, Kwa mtaji wa milioni 5 au chini ya hapo kuwa dealer ni ndogo sana na kuona faida yake ni ngumu hasa ukianza kuangalia muda, usafiri, chakula n.k. Binafsi ninafanya japo sio dealer ila nipo kwenye extraction kabisa.
Kwaiyo kwa kuanza inahitajika mtaji wa tshs ngapi?
 
Bei ya dhahabu inategemea na Dolla...ikipanda na yenyewe inapanda but ina vary from 50k mpk 80 kwa gram

Purity ya gold ina vary depending on it's deposition during the crystallization process, also the distance from the center of formation

Nitric Acid inayeyusha pure gold kitaalamu wanaita Desolution.
 
Wadau mimi kuna sehemu nilienda nikakuta kuna watu wamechimba mawe lakini yale mawe ni ya rangi nyeusi ila kikubwa zaidi yanashikana na sumaku .
Je hayo na yenyewe yanaweza kuwa ni aina fulani ya madini ?
Chuma...
 
Uzi mzuri sema wengi wetu hatuna ujuzi wa biashara za madini. Napenda kuuliza soko la madini ya rubi linapatikana wapi?
 
Back
Top Bottom