Hii ni unataka kuwa mchuuzi wa unprocessed gold au processed, kama ni unprocessed inakubidi uanzie machimbo/migodi ya wachimbaji wadogo ambapo unatakiwa uwe na mwalo na crusher(karasha),ambapo wachimbaji wadogo wanakuwa wakisaga mawe yao hapo mwaloni kwako ,wanaoshea na kupembulia hapohapo kwako so faida yako inakuwa ni ile pile(lundo),na ukiwa na scale(mzani) kuna watakokuuzia hapohapo baada ya kupembua wengine wataenda kuuza wanakojua wao.Wakuu,
Naomba kujua, ni jinsi gani naweza pata faida kwenye biashara ya dhahabu. Nauliza hili swali kwasababu,bei ya dhahabu ni sawa karibia kila sehemu!
Nataka kufanya biashara ya dhahabu legit sio kichochoroni kwa lengo la kushafirisha kwenda USA. mtaji wangu ni Tshs 100M
NB, kwa watu wazoefu, huwa mnanunua kwa bei chini kwa asilimia ngapi?
asanteni.
Mkuu umemaliza Kila kitu, ila soko la dhahabu kwa mtaji wa m100 ni pesa ndogo sana!Hii ni unataka kuwa mchuuzi wa unprocessed gold au processed, kama ni unprocessed inakubidi uanzie machimbo/migodi ya wachimbaji wadogo ambapo unatakiwa uwe na mwalo na crusher(karasha),ambapo wachimbaji wadogo wanakuwa wakisaga mawe yao hapo mwaloni kwako ,wanaoshea na kupembulia hapohapo kwako so faida yako inakuwa ni ile pile(lundo),na ukiwa na scale(mzani) kuna watakokuuzia hapohapo baada ya kupembua wengine wataenda kuuza wanakojua wao.
Na kama unataka kuwa mchuuzi wa processed gold hapa itakulazimu kuwa leseni kutoka ofisi ya madini mkoa usika, ambapo utakuwa na ofisi yako hapo soko la dhahabu ukisubiri wachuuzi wadogo kutoka "mialoni" wanaokuja kuuza hapo sokoni. Hapa inatakiwa pia uwe na scale ya kupimia uzani(grams) na purity ya dhahabu utakayoletewa. Bei ya dhahabu hutofautiana kutokana na purity yake. Kuna dhahabu inakuwa na uchafu (sanasana copper na madini mengine),so kulingana na purity kiasilimia 70%,80%,90% ndo itatathmini ununue kwa bei gani kulingana na soko la dunia, japokuwa hapa nchini bei elekezi inacheza around 140,000 kwa gram 1 ukiwa soko la dhahabu. Lakini bei inakuwa nafuu ukienda pori ( machimbo ya wachimbaji wadogo)
kumbuka pia bei ina fluctuate.
Sure mkuu atenge kama 15m kwanza akaanze kununua kwa mzani huko pori alafu yeye awe anaenda kuuza soko la dhahabu akipata uzoefu ndio aanze kuinvest jumla jumlaMkuu umemaliza Kila kitu, ila soko la dhahabu kwa mtaji wa m100 ni pesa ndogo sana!
Option ya kuingia mwenyewe migodini kusaka dhahabu kama sio mzoefu Bora utenge hata milion kumi uingie field kwanza upate uzoefu, maana hata kitu watu wa machimboni wanapenda Kama kumpata mtu mwenye pesa ndefu ambaye Hana knowledge, watakufanyia kiini macho hutoamini kitachokukuta
Wazo zuri, kama ni mgeni awe makini asije uziwa dhahabu ambazo hazijachomwa vizuriSure mkuu atenge kama 15m kwanza akaanze kununua kwa mzani huko pori alafu yeye awe anaenda kuuza soko la dhahabu akipata uzoefu ndio aanze kuinvest jumla jumla
Ndio maana kaja hapa,mpeni tips na maarifa yote,na wengine tupo tunafuatilia uzi.TUNAJIFUNZA.Wazo zuri, kama ni mgeni awe makini asije uziwa dhahabu ambazo hazijachomwa vizuri
Inachomwa kwenye moto mkali kama ni "kakumba" lazima itaonekana tungoja wamkwangulie sarafu za mia 2 wachukue ile rangi na wachanganye na chupa za madawa zilizosagwa zije zipigwe moto na copper na dhahabu kidgo[emoji23][emoji23]
Niikiripoti kutoka mgodi wa mwine kahama
mimi ni inshomile
mimi nilisema nataka kununua toka kwa licensed dealers,wao wanasema mambo ya porini.Ndio maana kaja hapa,mpeni tips na maarifa yote,na wengine tupo tunafuatilia uzi.TUNAJIFUNZA.
Mkuu,Hii ni unataka kuwa mchuuzi wa unprocessed gold au processed, kama ni unprocessed inakubidi uanzie machimbo/migodi ya wachimbaji wadogo ambapo unatakiwa uwe na mwalo na crusher(karasha),ambapo wachimbaji wadogo wanakuwa wakisaga mawe yao hapo mwaloni kwako ,wanaoshea na kupembulia hapohapo kwako so faida yako inakuwa ni ile pile(lundo),na ukiwa na scale(mzani) kuna watakokuuzia hapohapo baada ya kupembua wengine wataenda kuuza wanakojua wao.
Na kama unataka kuwa mchuuzi wa processed gold hapa itakulazimu kuwa leseni kutoka ofisi ya madini mkoa usika, ambapo utakuwa na ofisi yako hapo soko la dhahabu ukisubiri wachuuzi wadogo kutoka "mialoni" wanaokuja kuuza hapo sokoni. Hapa inatakiwa pia uwe na scale ya kupimia uzani(grams) na purity ya dhahabu utakayoletewa. Bei ya dhahabu hutofautiana kutokana na purity yake. Kuna dhahabu inakuwa na uchafu (sanasana copper na madini mengine),so kulingana na purity kiasilimia 70%,80%,90% ndo itatathmini ununue kwa bei gani kulingana na soko la dunia, japokuwa hapa nchini bei elekezi inacheza around 140,000 kwa gram 1 ukiwa soko la dhahabu. Lakini bei inakuwa nafuu ukienda pori ( machimbo ya wachimbaji wadogo)
kumbuka pia bei ina fluctuate.
😆ngoja wamkwangulie sarafu za mia 2 wachukue ile rangi na wachanganye na chupa za madawa zilizosagwa zije zipigwe moto na copper na dhahabu kidgo[emoji23][emoji23]
Niikiripoti kutoka mgodi wa mwine kahama
mimi ni inshomile
Hiyo pesa wekeza kwenye hardware vifaa vya ujenzi havijawahi muangusha mtu kama unasimamia wewe.Wakuu,
Naomba kujua, ni jinsi gani naweza pata faida kwenye biashara ya dhahabu. Nauliza hili swali kwasababu,bei ya dhahabu ni sawa karibia kila sehemu!
Nataka kufanya biashara ya dhahabu legit sio kichochoroni kwa lengo la kushafirisha kwenda USA. mtaji wangu ni Tshs 100M
NB, kwa watu wazoefu, huwa mnanunua kwa bei chini kwa asilimia ngapi?
asanteni.
****************************
Updated
Wakuu, nazungumzia kununua Dhahabu toka kwa “licensed dealers “ na sio kwenda porini. Hii ni kwasababu ya kupata makaratasi ya kufanya export
Basi hii biashara ni ngumu kweli kweli yaani inahusisha mambo ya ushirikina moja kwa moja duhHiyo pesa wekeza kwenye hardware vifaa vya ujenzi havijawahi muangusha mtu kama unasimamia wewe.
Na usipofanya nilichokuelèza utakuja kunikumbuka naona pesa inakuwasha.
Btw kabla hujaenda kwenye madini umeisha kuwa mshirikina au unaenda kichwa kichwa?
Mimi naitwa luckyline niko hapa jf.
Dubai peleka kwa huo mtajiWakuu,
Naomba kujua, ni jinsi gani naweza pata faida kwenye biashara ya dhahabu. Nauliza hili swali kwasababu,bei ya dhahabu ni sawa karibia kila sehemu!
Nataka kufanya biashara ya dhahabu legit sio kichochoroni kwa lengo la kushafirisha kwenda USA. mtaji wangu ni Tshs 100M
NB, kwa watu wazoefu, huwa mnanunua kwa bei chini kwa asilimia ngapi?
asanteni.
****************************
Updated
Wakuu, nazungumzia kununua Dhahabu toka kwa “licensed dealers “ na sio kwenda porini. Hii ni kwasababu ya kupata makaratasi ya kufanya export
Nashukuru kwa ushauri wako!Hiyo pesa wekeza kwenye hardware vifaa vya ujenzi havijawahi muangusha mtu kama unasimamia wewe.
Na usipofanya nilichokuelèza utakuja kunikumbuka naona pesa inakuwasha.
Btw kabla hujaenda kwenye madini umeisha kuwa mshirikina au unaenda kichwa kichwa?
Mimi naitwa luckyline niko hapa jf.
kivipi kaka?Basi hii biashara ni ngumu kweli kweli yaani inahusisha mambo ya ushirikina moja kwa moja duh
ebu nieleweshe kaka!Dubai peleka kwa huo mtaji