Kwa wachimbaji wadogo tola unaichukua kwa laki 7 n laki 8,nyamongo,na kwa mwanza unauza mil 1.1 kwa tola,,but tafuta watu wakuunganisha nao mtaji ambao ni wazoefu la sivyo utaambulia kitu wanaita reli yani unauziwa feki.kwa bei ya dar i don't know wananunuaje ila i think most of them ukiwa na mzigo mkubwa sio reliable wanaweza kukutapeli kama sio reputable co.
Instead badala ya kuuliza humu funga safari nenda kama ni morogoro,tanga ,ama kahama ama unapopanga kuchukulia mzigo ndio utaona shughuli zinavyoenda