Biashara ya dhahabu

Biashara ya dhahabu

vijo

Member
Joined
Jan 1, 2013
Posts
6
Reaction score
1
Wana jf nilikuwa na wazo la kuanzisha kabiashara kadogo kakununua dhahabu kutoka kwa wachimbaji wadogo na kwenda kuuza kwa wenye sonara hapo dar, kama kuna mtu anauzoefu na biashara hii changamoto zake na inaugumu gani, na jinsi yakuweza kuitambua pure gold, kuna kifaa chochote portable ambacho unaweza kuipima kama ni dhahabu halali au feki tu, je kwa makadirio unaweza kuanzishisha na kiasi gani cha fedha? na vipi soko na utaalamu mwingine wa gemstone zingine!
 
Kwa wachimbaji wadogo tola unaichukua kwa laki 7 n laki 8,nyamongo,na kwa mwanza unauza mil 1.1 kwa tola,,but tafuta watu wakuunganisha nao mtaji ambao ni wazoefu la sivyo utaambulia kitu wanaita reli yani unauziwa feki.kwa bei ya dar i don't know wananunuaje ila i think most of them ukiwa na mzigo mkubwa sio reliable wanaweza kukutapeli kama sio reputable co.
Instead badala ya kuuliza humu funga safari nenda kama ni morogoro,tanga ,ama kahama ama unapopanga kuchukulia mzigo ndio utaona shughuli zinavyoenda
 
Ahsante mkuu, naona hapo umenipa mwanga wa kutosha!!
 
Also kuna kitu kinaitwa grade,bar form,kuchoma etc hizo ni baadhi ya terminologies utakazokutana nazo.
Karibu tena

Ahsante mkuu, naona hapo umenipa mwanga wa kutosha!!
 
Mkuu kwa sasa nipo Dar, lakini naishi Geita. Ni shughuli ambayo ninaifanya. Tunaweza kuwasiliana nikakupa uzoefu jinsi ya kuijua dhahabu
 
Okey sawa kiongozi(Chamlungu), mie niko Chunya kwa sasa, ila around february nitakuja hapo DAR, naamini tutawasiliana tu, na huku hasa hilo ndo limenileta kupata kauzoefu kidogo!
 
Chimbuvu hivi kwa kuchoma pekee bila kuchanganya na chemical yeyote kuna uwezekano wa ku-identify how purity!!? na 1tola ni grms ngapi maana huku wanazungumzia grma tu na si tola?
 
Tola moja ni gm 12.. buyng price fructuates, dpends on world market.. pia kuna %purity tunaikonsida sana!
KARIBU KAHAMA!
 
Mkuu kwa sasa nipo Dar, lakini naishi Geita. Ni shughuli ambayo ninaifanya. Tunaweza kuwasiliana nikakupa uzoefu jinsi ya kuijua dhahabu
Habar yako mpendwa, nimeona mada inayozungumzia biashara ya dhahabu ingawa n muda mrefu, ningependa kupata uzoefu toka kwako, namba yangu n 0716 002323
 
Hii biashara ni ngum sana kwa mtu asie na uzowefu, soko lake ni zuri tu maana unauZa kwa bei ya mtandaoni tatizo ni hao wachimbaji wadogo wengi wamejaa utapeli wa kila aina, % purity ni mhim sana, na cha zaidi ili uweze kujuwa kama dhahabu ni feki au real nenda na nitric acid, kama ni feki itayeyuka yote kama ni real itabaki kama ilivyo.
Asante.
 
Back
Top Bottom