Wana jf nilikuwa na wazo la kuanzisha kabiashara kadogo kakununua dhahabu kutoka kwa wachimbaji wadogo na kwenda kuuza kwa wenye sonara hapo dar, kama kuna mtu anauzoefu na biashara hii changamoto zake na inaugumu gani, na jinsi yakuweza kuitambua pure gold, kuna kifaa chochote portable ambacho unaweza kuipima kama ni dhahabu halali au feki tu, je kwa makadirio unaweza kuanzishisha na kiasi gani cha fedha? na vipi soko na utaalamu mwingine wa gemstone zingine!